Business Idea

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Waungwana,poleni na kazi!! Nina swali nahitaji msaada!! Ningependa kufahamu about kampuni zinazo-deal na namba za simu zinazotumika zaidi kwa masuala ya bahati nasibu na mengine sawa na hayo. am talking abt numbers like 15550, 15570, na zingine kama hizo!! am talking abt zile namba ambazo wakati mwingine zinatumika mtu kupata matokeo Barclay league just by texting UKSOKA!Wadau wa hizi namba ni hizi kampuni za simu za kawaida( lyk Vodacom, Tigo etc) au? Nina bonge la money making idea ambayo am sure none of the company can undermind it unless if they're NOT FOR PROFIT company.
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA!!!
 
Duh ya kweli hayoo!!
 
Nenda TCRA ZINAITWA SHORT CODES......DOLA 2000 KWA MWEZI....FEES YAKE KAMA NI BUSINESS
 
Cellcom wanazo shortcode za kukodisha kwa muda wa mwezi,au miaka waone ili unapoanza hiyo bizness ujue faida,kama itakulipa au la
vipi pia ukifanya matokeo ya darasa la saba kwa sms?
Mwanafunzi anatuma namba yake ya mtihani kwa 67666,anapata matokeo?
Goodluck
 
mwanamwali maambo?jina lako tu.
 
Back
Top Bottom