Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

Status
Not open for further replies.
Apr 7, 2012
47
55
Kuna mapigano makali yanaendelea mda uhuu kati ya waislamu na wakristu kuhusu kuchinja hapa Buseresere - Geita.

Misikiti mingi imebomolewa na watu kadhaa wameshauawa.

Police mpaka muda uhuu naripoti hawajafika kwa kisingizio ni wachache.

Source: Mimi mwenyewe

------------
JamiiForums imethibitisha kutokea kwa tukio hili na inasadikiwa watu kadhaa wameshapoteza maisha!
------------

Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo (particular Protestants wa AIC). Na hii ni baada ya Wachungaji wa AIC kutenga eneo la Buselesele kwa ajili ya machinjio ya Wakristo wao,maeneo ya Katoro na jirani ni vurugu na mtifuano!

Mapambano yanaendelea kwa silaha za jadi, mpaka sasa majeruhi kadhaa wana hali mbaya!

Hali imejitokeza baada ya Wachungaji wa AIC jana kuwatangazia waumini wao kuwa hawawezi kula nyama iliyochinjwa na Waislamu kama sehemu ya ibada,hivyo Wachungaji wakaamua kutenga eneo la Kanisa hapo Buselesele kama machinjio...leo asubuhi wakachinja nyama na kuanza kuwauzia Wakristo, hali hiyo ikawafanya Waislamu kwenda kuvamia eneo hilo lenye "nyama haramu." Hali hiyo mpaka sasa imeleta mapigano makali, pikipiki zinachomwa, maduka yanafungwa na shughuli zimesimama.

Hali inazidi kuwa mbaya, misikiti inachomwa, mtu mmoja alipotiwa kuuwawa mpaka sasa, mchungaji mmoja kala kichapo na pikipiki yake kupigwa kiberiti...

Polisi wa Geita wamezidiwa wanakuja wengine toka Mwanza na Chato! Unaulizwa jina ukitaja la kinyume na waliokukamata unaanza kupewa doze!

Hapa ndipo Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mjomba wake Vick Kamata ametufikisha!

HALI NI MBAYA...

Source: Jamaa yangu yupo Geita

Heshima Kwenu wakuu!

Taarifa za uhakika zilizonifikia kama saa moja hivi iliyopita zinaeleza kwamba mapigano yameibuka na yanaendelea kati ya Wakristo na Waislamu katika mji Mdogo wa Buselesele wilayani Chato Mkoani Geita wakigombania kuchinja.

Ni kwamba jana wakristo alitangaza kwenye mkutano wa hadhara kwamba leo jumatatu wanaanza kuchinja na kuuza nyama kwenye bucha zao,na wakaitangaza moja ya bucha zilizoko katikati ya soko la Mji wa Katoro kwamba ndilo litakuwa likiuza nyama za wakristo.

Ilipofika asubuhi ya leo majira ya saa 9 waislamu wakapata taarifa kwamba bucha hiyo inauza nyama kwa ajili ya wakristo,huku bucha zao zikionekana kudorora ambapo waliamua kwenda na kuanzisha vurugu kwenye bucha hiyo.

Kwa mujibu wa Taarifa hizo tayari zaidi ya watu 10 wamejeruhiwa kwa kukatwa mapanga ambapo mmoja hali yake inaelzwa kuwa mbaya na amekimbizwa ktika hospitali ya wilaya ya geita, tayari polisi wa kikosi maalum cha kutuliza ghasia FFU kikiongozwa na Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Geita wamewasili eneo la tukio.

Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea kadri nitakavyokuwa Napata tarifa ikiwa ni pamoja na picha za majeruhi.Kwa wale wenyeji wa eneo hilo ni vigumu kutofautisha mji wa Katoro wilayani Geita na Buselesele wilayani chato kwa sababu ni miji iliyoko kwenye eneo moja na inaingiliana kwa kila kitu.

Majeruhi Abdalah Ibarihim akiwa amejeruhiwa vibaya baada ya kukatwa mapnga kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni Wakristo.

attachment.php

Huyu naye ni majeruhi aliyetambuliwa kwa jina la Steven Andrea (34) ambaye anadaia kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.

attachment.php

Mchungaji aliyethibitishwa hadi sasa ni wa kanisa la PAGT aliyetambuliwa kwa jina la Mathayo Kachira(33),Mwili wake umehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya ya Geita.
 
Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo (particular Protestants wa AIC). Na hii ni baada ya Wachungaji wa AIC kutenga eneo la Buselesele kwa ajili ya machinjio ya Wakristo wao,maeneo ya Katoro na jirani ni vurugu na mtifuano!

Mapambano yanaendelea kwa silaha za jadi, mpaka sasa majeruhi kadhaa wana hali mbaya!

Hali imejitokeza baada ya Wachungaji wa AIC jana kuwatangazia waumini wao kuwa hawawezi kula nyama iliyochinjwa na Waislamu kama sehemu ya ibada,hivyo Wachungaji wakaamua kutenga eneo la Kanisa hapo Buselesele kama machinjio...leo asubuhi wakachinja nyama na kuanza kuwauzia Wakristo, hali hiyo ikawafanya Waislamu kwenda kuvamia eneo hilo lenye "nyama haramu." Hali hiyo mpaka sasa imeleta mapigano makali,pikipiki zinachomwa,maduka yanafungwa na shughuli zimesimama.

Hali inazidi kuwa mbaya, misikiti inachomwa, mtu mmoja alipotiwa kuuwawa mpaka sasa, mchungaji mmoja kala kichapo na pikipiki yake kupigwa kiberiti...

Polisi wa Geita wamezidiwa wanakuja wengine toka Mwanza na Chato! Unaulizwa jina ukitaja la kinyume na waliokukamata unaanza kupewa doze!

Hapa ndipo Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mjomba wake Vick Kamata ametufikisha!

HALI NI MBAYA...

Source: Jamaa yangu yupo Geita
 
Habari zilizopo ni kuwa leo Geita mapigano yametokea kati ya Waislamu na Wakristo(particular Protestants wa AIC),Na hii ni baada ya Wachungaji wa AIC kutenga eneo la Buselesele kwa ajili ya machinjio ya Wakristo wao,maeneo ya Katoro na jirani ni vurugu na mtifuano!!Mapambano yanaendelea kwa silaha za jadi!mpaka sasa majeruhi kadhaa wana hali mbaya!

Mavuno ya Presda hayo!!!
 
Heshima Kwenu wakuu!

Taarifa za uhakika zilizonifikia kama saa moja hivi iliyopita zinaeleza kwamba mapigano yameibuka na yanaendelea kati ya Wakristo na Waislamu katika mji Mdogo wa Buselesele wilayani Chato Mkoani Geita wakigombania kuchinja.

Ni kwamba jana wakristo alitangaza kwenye mkutano wa hadhara kwamba leo jumatatu wanaanza kuchinja na kuuza nyama kwenye bucha zao,na wakaitangaza moja ya bucha zilizoko katikati ya soko la Mji wa Katoro kwamba ndilo litakuwa likiuza nyama za wakristo.

Ilipofika asubuhi ya leo majira ya saa 9 waislamu wakapata taarifa kwamba bucha hiyo inauza nyama kwa ajili ya wakristo,huku bucha zao zikionekana kudorora ambapo waliamua kwenda na kuanzisha vurugu kwenye bucha hiyo.

Kwa mujibu wa Taarifa hizo tayari aidi ya watu 10 wamejeruhiwa kwa kukatwa mapanga ambapo mmoja hali yake inaelzwa kuwa mbaya na amekimbizwa ktika hospitali ya wilaya ya geita,tayari polisi wa kikosi maalum cha kutuliza ghasia FFU kikiongozwa na Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Geita wamewasili eneo la tukio.

Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea kadri nitakavyokuwa Napata tarifa ikiwa ni pamoja na picha za majeruhi.Kwa wale wenyeji wa eneo hilo ni vigumu kutofautisha mji wa Katoro wilayani Geita na Buselesele wilayani chato kwa sababu ni miji iliyoko kwenye eneo moja na inaingiliana kwa kila kitu.
 
Heshima Kwenu wakuu!

Taarifa za uhakika zilizonifikia kama saa moja hivi iliyopita zinaeleza kwamba mapigano yameibuka na yanaendelea kati ya Wakristo na Waislamu katika mji Mdogo wa Buselesele wilayani Chato Mkoani Geita wakigombania kuchinja.

Ni kwamba jana wakristo alitangaza kwenye mkutano wa hadhara kwamba leo jumatatu wanaanza kuchinja na kuuza nyama kwenye bucha zao,na wakaitangaza moja ya bucha zilizoko katikati ya soko la Mji wa Katoro kwamba ndilo litakuwa likiuza nyama za wakristo.

Ilipofika asubuhi ya leo majira ya saa 9 waislamu wakapata taarifa kwamba bucha hiyo inauza nyama kwa ajili ya wakristo,huku bucha zao zikionekana kudorora ambapo waliamua kwenda na kuanzisha vurugu kwenye bucha hiyo.

Kwa mujibu wa Taarifa hizo tayari aidi ya watu 10 wamejeruhiwa kwa kukatwa mapanga ambapo mmoja hali yake inaelzwa kuwa mbaya na amekimbizwa ktika hospitali ya wilaya ya geita,tayari polisi wa kikosi maalum cha kutuliza ghasia FFU kikiongozwa na Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Geita wamewasili eneo la tukio.

Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea kadri nitakavyokuwa Napata tarifa ikiwa ni pamoja na picha za majeruhi.Kwa wale wenyeji wa eneo hilo ni vigumu kutofautisha mji wa Katoro wilayani Geita na Buselesele wilayani chato kwa sababu ni miji iliyoko kwenye eneo moja na inaingiliana kwa kila kitu.
Kwa taarifa nilizozipata mida hii, mpaka sasa watu wawili wameshauwawa........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom