Busara hapo Mbeya ifanyike nusu mkate kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni kama Ishmael na Isaka wote wana Baraka!

Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono 😀😀
Kwa hiyo imefika pahala nchi inamegwa kwa style hiyo au sio? Last time i checked tulikubaliana jimbo litaongozwa na atakayeshinda uchaguzi sasa hii ya kumegeana jimbo ili ushindi wa mezani upatikane imeanza lini tena?
 
Matunda ya Maridhiano
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono
Nusu mkate ifanyike kupeleka muhuni SUGU?
Huyo SUGU aendelee kuimba na kusimamia hotel yake tu
 
Itoshe tu kusema kwa sababu Sugu na Dkt. Tulia PhD ni Wanafamilia wa Serikali ya Awamu ya 6 basi Hapo mjini Mbeya pafanyike Nusu Mkate yatoke Majimbo Mawili

Ikumbukwe Dkt. Tulia PhD na Bilionea Sugu Moto Chini Wote wanakubalika sana Mbeya nzima

Mlale Unono 😀😀
WACHA UPUUZI WAKO, HAWAKO SAWA. MMOJA NI MWIZI WA KURA MWINGINE NI MBUNGE WA HERI YA WATU1
 
Mbeya ipi hiyo unayoizungumzia wewe? Umeona namna Dr Tulia alivyopokelewa kwa kishindo wiki iliyopita? Umeona namna Dr Tulia anavyokubalika na kuungwa mkono kila sehemu akienda?

Dr Tulia ataenda jimbp jipya la Mbalizi
Hawezi mshinda Sugu 2025
 
Ligawanywe au lisigawanywe bado Dr Tulia atapita na kushinda kwa kishindo.Dr Tulia anakubalika na kupendwa sana na wana Mbeya.nafikiri uliona mapokezi ya kishindo aliyoyapata wiki iliyopita pale jijini.ambapi watu walifurika kwa maelfu hali ambayo isingetoa nafasi kwa hata sisiminzi kupenya katikati ya miguu ya watu.

Sugu hakuna alichofanya kwa muda wote aliokuwa mbunge wa Mbeya mjini.niambie hata wewe kuwa sugu alifanya nini kwa miaka yake yote ya ubunge?

Mbeya ya kwenu Mbozi labda!
Hii Mbeya mjini tunayo ijua hawezi shinda Dr Tulia
 
Kama watu wa Mbeya wanatafuta mwakilishi basi Tulia amemuacha mbali sana Sugu katika kazi hiyo. Lakini kiushabiki Sugu yuko juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom