Buriani "Hayati Moringe Sokoine"

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Ni sekunde, dakika, masaa, siku, miezi na miaka kadhaa sasa tangu mpendwa wetu Hayati Moringe Sokoine, Waziri mkuu wa zamani atutoke kwa ajali mbaya ya gari akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam kutokea Dodoma.Hatimaye leo tunaazimisha miaka kadhaa ya kifo chake, Kwa tuliokuwepo na ambao hatukuwepo kipindi cha utendaji wake kiongozi huyu wa mfano, lakini tukiwa tumepata fursa ya kusikia aina ya uchapa kazi wake enzi zake!, Nini wito wako kwa viongozi wetu wa sasa ktk kumuenzi Mpigania haki huyu na maendeleo ya wanyonge ktk enzi hizo? Atakumbukwa daima na wapenda haki, wanaharakati na wapigania maendeleo ya wanyonge.
 
Back
Top Bottom