Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

Toka 1961 mpaka leo nchi haina mtaala 2013 ndio Mbatia kashtuka kwakweli hata huu upinzani una maswali ya kujibu
 


....hawawezi kufikiria kwani wamefika mwisho!!!!!....lakini sikuzote hufikiria kunyonya damu za wanaowatumikia....
 
Hakuna mitaala?? Hii inatisha sana! Kama hakuna mitaala manake hakuna mwelekeo wala dira wala njia wala lengo mahususi katika Elimu ya watoto wetu! Ha!
 
Utawala usiojali ELIMU haufai kupewa ridhaa ya kuongoza. Elimu ndiyo chanzo cha uthabiti wa Taifa kwa kujenga rasilimali watu watakao weza kulisimamia Taifa na kuzitumia rasilimali zake kwa uwiano mzuri wenye manufaa kwa Taifa. Kosa hili halitaweza kuvumilika. Tumeshuhudia walimu wakinyanyaswa na kunyimwa stahiki zao, tumekuwa tukilalamika kuwa elimu yetu inashuka mwaka hadi mwaka huku watawala wakilazimisha waliofeli kufaulu na kuendelea na ngazi za juu za elimu. Jinsi viongozi wa bunge kutoka chama tawala wanavyotetea uzembe huu, inatufanya tuamini kuwa mtaji wa CCM ni katika kudhoofisha elimu. Yapo mengi yameniumiza, ila hili limeniumiza na kunitisha zaidi.
 
Hii ndiyo Tanzania bana, hapo kuna watu wanajipangavkupiga propaganda badala ya kutafuta suluhu!
 
Nasubiri siku spika au naibu spika atakapo pigwa ngumi bungeni mAana wanachofanya ni ipuuzi na ujinga. Ehhh mungu mpe ujasiri mbunge yeyote sikuyeyote apige ngumi hawa Ma CCM Spika.
 
Hivi hawa jamaa hata Mungu hawamuogopi? Yani hofu ya Mungu haipo kwao kabisaa.., wanachofikiri ni matumbo yao tu ambayo yanafanya vichwa vyao visipambanue mambo..hata issue ya elimu? wamesahau wapo kwa ajili ya wananchi na co matumbo na maslahi yao binafsi..God have your mercy...
 
wabunge wa ccm walitetea tume huru isiundwe ili kawambwa apenyeze madudu na watoto wetu wazidi kuwa vilaza kama viongozi wa ccm.

Aisee, kumbe lengo la CCM ni kuhakikisha elimu duni inaendelea kutolewa nchini ili vijana wetu wasiwe na uwezo wa kuhoji madudu ya serikali, lol

Ndio maana waziri wa elimu alisema Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na ___!
Aibu
 
Shukuru kawa Mbwa mnamwonea jamani! uwezo wake ni mdogo saaaaaaaana
 
HUYU SI YULE AMBAYE YUKO MIONGONI MWA MAFISADI WA ELIMU? MWENZAKE NCHIMBI ALISAFISHA PhD yake mwaka juzi . yeye sijamusikia kama anafanya juhudi yoyote zaidi ya kutetea HOJA ZA KIPUUZI TOKA SERKALINI? HE ISNT A GREAT THINKER ANYAWAY. LUKUVI HANA JIPYA YEYE NI SHUJAA WA KUTETEA DHIDI YA MAENDELEO YA NCHI YETU.
 
nakumbuka kwenye kipimajoto fulani mbatia aliwakomalia vibaya sana watu wa wizara ya elimu kuhusu mitaala na vitabu vya kiada na ziada. Kama serikali ingekuwa makini leo wasingekuwa na majibu ya rejareja
 
me nashangaa sana coz kuna baadhi ya watu wamelaumu sana wabunge kuchomewa mali zao kule mtwara. ila sasa uhasidi wao nadhani mumeuona. i wish jengo la bunge lingejengwa masasi, mtwara sasa lingebakia maji.u tu

kilichobaki sasa ni kuwachoma wao .......
 
Wabunge walitakiwa kuchukua hatu hii siku nyingi tu.Ila ni bora wachukue hatua sasa kuliko kuendelea kukaa kimya na kulalamika tu.

mkuu inashangaza sana kuona wabunge wa ccm na spika na naibu wake wakishabikia ujinga ambao unaangamiza taifa wao wanalinda chama na serikali.ni chama kwanza au wananchi kwanza?
 
Back
Top Bottom