BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Hahahahahaha inkoskaz ur pro mdimu mnajua serukamba alichowafanya kwenye uchaguzi wa jumuiya za wazazi ccm, uwt, uvccm nmegundua unaposema aspewe kura ata na wife kumbe una ajenda ya kisiasa kwanini wasianze na mwigulu nchemba na nkamia polus hamis kgwagwala
 
Tena kabisa leo asubuhi namsikia Naibu spika akihojiwa na Redio One Kumepambazuka kuhusu adhabu kwa mbunge atakaye toa lugha za matusi bungeni akawa anarudiarudia kuwa atatolewa nje na polisi sasa napata shida kuamini kama huyo alikuwa mbunge au mgeni mwalikwa

Aiseee kazi tunayo,hebu tumsubirie saa 11 tusikie ana jipya gani
 
Mbona wale wanaotetea ccm mbona si waoni hapa au hili halina mshiko kwao !
 
Hahahahahaha inkoskaz ur pro mdimu mnajua serukamba alichowafanya kwenye uchaguzi wa jumuiya za wazazi ccm, uwt, uvccm nmegundua unaposema aspewe kura ata na wife kumbe una ajenda ya kisiasa kwanini wasianze na mwigulu nchemba na nkamia polus hamis kgwagwala

Hahaha wote wamoja
 
kazi ipo kweli nimeamini Mungu akitaka kukudhalilisha hakika utadhalilika ccm inadhalilika sana
 
Kweli ilipofikia inabidi tuhahalalishe bangi tu maana it seems wabunge wetu wanatumia Bangi...sio MANI zumbemkuu Paloma njooni huku na saudari msikie baba wa mwenzetu huyu, ndio mwakilishi wa watu huyu....kazi ipo

Halafu atataka na yeye aheshiniwe kama Mbunge, hivi utamuheshimu vipi mtu asiyeweza kujiheshimu?

Huyu hata mwanae akimtukana wala asilalamike.

Hapo sheria inatakiwa iangaliwa yaani unamtukana mwenzako halafu Ngugai anamryhusu jamaa aendelee tu?

Kwa hali hii hatujengi bali tunabomoa, kwanini sheria ilalie upande mmoja?
Why always wabunge CCM ndo wanawatukana wengine bungeni? Au wao ndo wanapashwa kufanya hivyo?
 
Mimi binafsi nilishikwa na bumbuwazi na mpaka sasa siamini, Je ingekuwa mbunge wa chama pinzani ingekuwaje? AU ingekuwa akina Dogo janja tungesema aliamkia bangi ya Kisimiri au lakini kwa sababu ni Gamba tuseme ameridhi kuropoka ovyo kutoka kwa NAPE?
 
Mosie naakaje vigha vya nine......visiku vyakwe uyu.....hahahhahaaaa home sweat home
CC: zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
HAWA JAMAA WAKO WAPI LEO???,
REJAO, RITZ, SUMU, STROKE, NEPI,FAIZA FOX, WINGU, MAJEBERE, LUKOSI, CHILISOSI, TASWIRA, MWIGULU MADEULU, WAKUFYOOOOOZWA... MWA MAKOTONI, KATIBA MPYA, et al.....,
AU NAO HILI LA
FAKI YU LIMEWAUMA SANA, MAANA HAWA JAMAA AKILI ZAO ZIPO.......
 
8554844_orig.jpg
 
come on fu**k you sio tusi bana.....tena tangu leo naanza kulitumia JF....mtu akiingilia thread au post yagu namuambia come on fu**k you......yaani asubiri kwanza nimalize
come on fu**k you=subiri kwanza nimalize
 
There are currently 1054 users browsing this thread. (153 members and 901 guests)

nahisi hawa vijana wa buku saba saba za NAPE NA JANGILI KINANA, LEO WAMEKUWA GUEST, CHECK WANAVYOUCHUNGULIA HUU UZI WANATAMANI MODS WAUONDOE.... TEHHHHHHHH.

CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HAPO LUMUMBA.
 
Back
Top Bottom