Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

Wewe unaongea vitu vyako vya kitotototo wakati hapa tunaongea mambo ya msingi ya kujenga taifa ukiishiwa hoja ni vema ukalale mkuu.

mmmmmmm sio mimi muuliiize lekule laiza mbunge wa longido mie nimemnukuu yeye....... huo utoto unao wewe
 
Hivi huyu ndugai huwa haangalii mabunge ya nchi zilizoendelea yanavyoendeshwa?! Haaa upuuz mtupu
 
CCM........Mmmh

5217410.jpg
 
Baada ya prukshani za jana nilipita mitaani nikakuta kundi dogo la watu wenye heshima zao wanadiscuss hii ya wabunge wetu hasa Mwigulu.

Mzee mmoja akamwambia mwenzake hivi wewe hujui kama Mwigulu ni mtoto wa mkuu wa nchi, eti alimzaa enzi hizo.

Personally nikiangalia resemblance yao, somehow i tend to agree.

Naomba wenye ukweli au clue ya jambo hili watuwekee humu.
 
chinese philosopher once said.it doesnt matter what is the size of the dog in a fight,but the size of fight on the dog.
Size ya fight dhidi ya Ccm ni kubwa sana kwao,ukilinganisha na ukubwa wa bure wake,ila kwa chadema size ya fight dhidi yake toka kwa ccm,ni ndogo sana hata wakiwa wachache.
Nani kawadanganya magamba kuwa kumtoa Lissu na wengine kutawapa makapi km mwigulu na wengine platform ya kudanganya taifa?

Chadema mmoja anatosha haribu pr ya magamba iliyotengezwa kwa miaka 30,kwa magamba zaidi 30+usalama wa ccm wote.

Kweli cdm wanaruka vihunzi hata wakiwa usingizini.Cuf huu mziki wasingeweza km walikatika kirahisi na kunyoosha mikono.cdm the badger wana throw a fight kwa magamba,sasa ulimi nje ,hadi wanasingizia cdm kuwa kila kitu hadi ikulu yenyewe kuwa ndio wanaivuruga,.


ccm wangejua ternacity ya cdm w ,na ujinga wao,wasingefanya ujinga wa nyumbu kunusa mdomo wa simba hata km amelala.
 
Mh. Mwigulu amewashika CHADEMA pabaya. Na hapo bado silaha za maangamizi (Mwampamba na Shonza) zinajipanga kwa mashambulizi mapya. Ni matumaini yangu kwamba hadi muda kama huu mwakani CHADEMA itakuwa ni historia kwahiyo kwa wale wote ambao maisha yao yanategemea uwepo wa CHADEMA ningewashauri waanze mapema kujishughulisha na ujasiriamali.

Hatuwezi kuruhusu watu waishi kijanja-janja mjini. Huu muda mnaoutumia CHADEMA kuivuruga nchi ni bora mngerudi Moshi, Kilimanjaro mkawabebee wazungu mabegi na kuwapandisha mlima Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom