Bungeni: Mkulo aangukia pua, hoja yake yakataliwa!

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Waziri wa fedha ameliomba bunge lipitishe azimio le kuweka amri ili kudhibiti matumizi ya posho, manunuzi na safari za nje ya nchi na ndani.

My Take

Huku ni kula matapishi ya wanaccm wenzake ambao walipitisha kwa mbwembwe kwenye bunge la bajeti na kuwaona wabunge wazalendo waliokataa kama wanafiki na wenye wivu.

hakika nadhani serikali yetu haina muelekeo unaoeleweka.
 
Inapepesuka, viongozi wamekuwa wehu hii ni kutokana uongozi mbovu wa JK.
 
nashawishika kukubali hoja yako maana inasikitisha hata waziri mkuchika asubuhi ya leo amakiri kuwa halimashauri zinashindwa kufanya kazi kwasababu fedha hakuna ili hali zito kabwe alishawahi kusema serikali haina fedha na kuambulia makaripio mengi tu
 
Hapo ni pure usanii... Kama ana ubavu aanze na kuzuia za wabunge wake kwanza wasivute hiyo mia mbili elfu kwa kusinzia bungeni masaa saba. Unajadili na watu waliojiongezea posho bila hata ruhusa ya rais namna ya kudhibiti matumizi ya posho?? Kichekesho, ni sawa na skujadili na fisi namna ya kudhibiti ulaji wa mifupa...
 
viongozi wamekuwa fisi wenye hulka na nyama hata iliyooza
 
Hapo ni pure usanii... Kama ana ubavu aanze na kuzuia za wabunge wake kwanza wasivute hiyo mia mbili elfu kwa kusinzia bungeni masaa saba. Unajadili na watu waliojiongezea posho bila hata ruhusa ya rais namna ya kudhibiti matumizi ya posho?? Kichekesho, ni sawa na skujadili na fisi namna ya kudhibiti ulaji wa mifupa...

hata mimi nilitamani kucheka maana fisi anatakiwa kulinda bucha la nyama lakini moyoni nikatamani kulia kwa kituko hiki
 
nashawishika kukubali hoja yako maana inasikitisha hata waziri mkuchika asubuhi ya leo amakiri kuwa halimashauri zinashindwa kufanya kazi kwasababu fedha hakuna ili hali zito kabwe alishawahi kusema serikali haina fedha na kuambulia makaripio mengi tu

Ukweli ni kuwa kwa sasa nchi ni MUFLISI! Ni dhahiri sasa hali ya hatari inatakiwa kutangazwa!
 
Hapo ni pure usanii... Kama ana ubavu aanze na kuzuia za wabunge wake kwanza wasivute hiyo mia mbili elfu kwa kusinzia bungeni masaa saba. Unajadili na watu waliojiongezea posho bila hata ruhusa ya rais namna ya kudhibiti matumizi ya posho?? Kichekesho, ni sawa na skujadili na fisi namna ya kudhibiti ulaji wa mifupa...

Ulukolokwitanga unajua serekali haina pesa hata hizo posho walivuta kiaina hazitamaliza mwaka huu wa fedha ni bajeti ya kijiji cha bunge. Lakini bahati mbaya ni kwamba wanakumbuka shuka wakati ni asubuhi tayari !
 
Waziri wa fedha ameliomba bunge lipitishe azimio le kuweka amri ili kudhibiti matumizi ya posho, manunuzi na safari za nje ya nchi na ndani.

My Take

Huku ni kula matapishi ya wanaccm wenzake ambao walipitisha kwa mbwembwe kwenye bunge la bajeti na kuwaona wabunge wazalendo waliokataa kama wanafiki na wenye wivu.

hakika nadhani serikali yetu haina muelekeo unaoeleweka.

Ni kichekesho ila suala la kudhibiti posho ni gumu mara mia ya kazi ya kuondoa wamachinga kariakoo. Kumbuka hayo ndo maisha ya management za taasisi, wizara na idara zote za umma. Sikuhizi hata agenda za vikao zinafanywa kuwa vikao tofauti
 
Inapepesuka, viongozi wamekuwa wehu hii ni kutokana uongozi mbovu wa JK.
ujenzi wa mnara wa Babel ndivyo ulivokuwa hivyo, alichofanya Mungu ni kuwachanganya lugha tu na hakuna kilichoendelea baada ya hapo!
 
Hoja ya mabadiliko ya jedwali la ushuru wa bidhaa limekwama kwa kundi la wabunge wengi kuikataa.
 
Siyo uongo nchi inafilisika very sooon na huyu rais asiyejali duh tumekwisha ee mungu tusaidie
 
serikali yashikwa na wabunge akianzisha mh. tizeba. marekebisho ya jedwali la 4 yaliyowasilishwa bungeni na m. mkulo yakwamishwa kwa kura ya siyooooooooo!
 
toa habari kamili, jedwali na 4 linazungumzia nini! Unaeleza kama wote tunajua unachokisema!
 
mleta habari wakati mwingine ukiwa unaleta habari nzito kama hizi zinazolenga masilahi ya Taifa uwe unatulia usikurupuke....
 
Mkulo kaangukia pua! Huyu jamaa bwana..ovyo kabisa dili la mafisadi anaomba wabunge wamsapoti. Big up mheshimiwa madabida kwakugomea upuuzi. Mlala hoi asingefaidika kwa punguzo la sh. 27 anayotetea mkulo
 
Dr chizeba kafanikisha kutupwa kwa hoja hio ambayo inalengo lakunufaisha wenye viwanda.
 
Back
Top Bottom