Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

Mimi na dhani kitu alicho kusudia lisu ni kuomba kwanza idhini ya naibu sipika ili ampe nafasi ya kuwa kirisha hoja.kabla hajapewa nafasi ya kuwa kirisha hoja akajibiwa kuwa hoja yako haijaungwa mkono na wabunge.wakati huohuo lisu alikuwa bado haja wakirisha hoja alio kuwa amekusudia kuwakirisha.me sijaelewa hapa kwani hoja ambayo haikuungwa mkono na wabunge ni ipi wakati lisu inaonekana alikuwa bado haja wakirisha hoja yake alikuwa anaomba nafasi iliaweze kuwakirisha.

Na ndivyo kanuni inadadavuka, hakika ole wao waamuzi wazipindishao hukumu, tazama wao ni chukizo kwa mungu.
 
MARUFUKU,MARUFUKU KUJADILI JAMBO LILILOKO MAHAKAMANIKESI IKO MAHAKAMANI HII MELI IMESHASHTAKIWA WASHINGTON NA PALE NUNGWI TUMEFUNGUA MASHTAKA JANA HAMRUHUSIWI KUIJADILI JF MNATAKIWA MTII MHIMILI WA MAHAKAMA ok
 
Bunge inabidi ilipwe kwa HOJA nzito nzito tu na si vihoja vyepesi vyepesi!Wabunge wa CCM wanaujua uwezo wao wa kufikiri na wa kutoa hoja ndo maana wanaogopa kuzijadili Hoja nzito Bungeni maana wangemezwa na wabunge wa Chadema!kwa kifupi wanaogopa wataumbuka!!Warudi darasani kusoma wao wenzao ni wasomi wa kweli wala hawakununua mitihani hao!!Wabunge Wa CCM huzifurahia hoja nyepesi kwa kuwa wanapenda sana Mipasho So wanaogopa wasije wakaingiza mipasho katika Hoja ya Msingi tukawajua Vizuri!!!Maana Spika leo si alikua ISHA MASHAUZI,Hoja ilivyotolewa na TUNDU LISSU akasimama MALKIA KHADIJA KOPA wa serikari akatoa VICHAMBO baada ya HOJA!!HOVYOOOOOO!Big up Tundu lisu na wenzako!waachieni li ukumbi lao la taarabu waendelee kupashana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Kama hujui hili basi rudi kwa mwalimu wako wa Civics
Wewe unayejichanganya na majibu yako!.
Na ninaona hapo umefika mwisho wa uongo wako.

Njoo tuendelee alafu utajihukumu mwenyewe.
Kama unalijua jibu poa.
Bunge ni kitu gani katika huo mwamba unaoitwa Serikali?.
 
Ndio athari ya viti maalumu kuwa vingi bungeni maana wabunge karibu wote wa CCM wanafanana si wakiume wala wakike wote wamekuwa na TABIA sawa!Cheki unaweza ukamfananisha Mdee na Mwigulu kweli!maana Mdee kama Dume!Mwigulu kama Mwanamke!
 
Baraza la wawakilishi lenyewe halijajadili hoja ya ajali, nyie bunge la muungano ndio mnajifanya mnajua sana kuliko wale wenye msiba wenyewe

Mwenye msiba mwenyewe ni nani wakati meli ilitoka Dar kwenda Zanzibar? Kama huna taarifa kuna watu wengi wa Tanzania bara walikuwamo kwenye hiyo meli na wengi miili yao haijapatikana. Na watalii pia walikuwamo, sasa huu msiba mwenyewe ni nani?

Mimi ni mtanganyika lakini huwa ninasafiri mara nyingi kwenda Zanzibar pamoja na familia yangu. Kwangu huu msiba ni wa kila mtu anayetumia usafiri wa meli, sio wa Zanzibar tu bali hata wa kwenye maziwa yetu kama Victoria, Tanganyika, Nyasa na mengine. Kuna wengi waliopoteza ndugu na jamaa zao kwenye MV Bukoba. Ingawa ajali ilikuwa ya ziwani, tunaona hakuna tulilojifunza na tangu wakati huo mpaka sasa ajali za meli zimeendelea kutokea. Katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja ajali mbili kwenye meli zinazoenda Zanzibar. Muogope Mungu.
Mungu Awalaze pema waliopotea kwenye ajali hii na Awaponye waliojeruhiwa!
Wanaokejeli na kutoa maneno ya mzaha kuna siku yatawafika!
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake!
 
Back
Top Bottom