Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

Tundu lissu ndani ya nyumba,mkulo kikaangoni na nahisi baada ya mjadala huu watu wawili mkulo na ekelege watakua kwenye wakati mgumu sana.
 
Mbunge wa CCM Lugola amemlipua Mkulo kwa kutaka kuiuwa CHC ili kulinda ubadhilifu uliofanywa na serikali.
Pia kamtaka kufuta kauli kuwa Zito na kamati yake walihongwa na CHC ili kuitetea, wkt ukweli ni kuwa wizara ya fedha ndiyo inayolihujum shirika hilo na mali za umma kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom