Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM

Kuna mtu wa CCM anatema cheche za pumba sijapata kuona, Selemani Jafo wa Kisarawe kadai safari za Kikwete ni sawa kabisa kwa sababu Mtume alikuwa akisafiri sana kufanya study tour, pumba fulani hata hazieleweki, hivyo kawashutumu wanaomkosoa Kikwete kwa safari.
Yaani huyu mbunge ndio kibuyu kabisa,mtume kama alisafiri ndio ajustify hata rais nae asafiri........anataka kuleta udini kwenye maslahi ya taifa.paaaaaaaaaaaaambuf
 
Usalama wa Taifa ni kwa ajili ya ccm na wao wenyewe, hawako kwa maslahi ya taifa kabisa!! Kikula, vc wa udom, ni usalalma wa taifa, lakini kuna ufisadi wakutisha sana pale udom!!
 
CCM bana wanasema eti wapinzani pigeni makelele weee, lakini mambo yatabaki kama kawa CCM si ni wengi bungeni...sijui ukiwa CCM unarogwa kabisa akili????
 
Codes and ethics za usalama wa taifa zinategemea umefundishwa wapi, kama ni USSR basi usalama ni wa chama. Kama ni Israel basi unapata ile cream ya usalama wa taifa. Sasa sijui kama hawa jamaa wa CCM wanaelewa kitu. Maana hata documenti nyingine chafu za kifisadi bado zinaitwa nyara za serikali. Usalama wa taifa unatakiwa kuexpose all dirty documents. Labada hawana hata policy mbalimbali za kuwasaidia katika utendajia wao wa kila siku. Kwa kweli usalama wa taifa/CCM bongo ipo kazi.
Hawa jamaa hata wangepelekwa israel isingesaidia.Wenzetu wanachagua watu wenye uwezo mkubwa wa akili sisi tumegeuza usalama urithi wa familia.Kama wewe ni usalama unaliingiza lile toto lako lililofeli kisa eti tulijngewa imani ya kutokuhoji kazi zao.
 
Jamani nilikuwa napita tu, Ila ukishaonamtu anaongea pumba...jua huyo siyo chaguo la wananchi... ni chaguo la chama kilichomuweka! Ukipewa ULAJI wakati unajijua kabisa huna uwezo, lazima umtetee aliyekuweka kwa gharama zozote...
 
Hawa jamaa ni burudani sana hapa nchini,mara utaambiwa ooh huyu kichaa ni usalama,mara utasikia ooh huyu mama muuza mandazi ni usalama.
Sisi tunaopenda baa tunatishiwa eti ooh walevi wengi ni usalama;basi wale tunaowaogopa hao ndugu tunaacha bia kwa sababu tunaambiwa tena et ooh ni watu hatari.
Kimsingi mimi sijui kazi zao haswa ni zipi.
 
Ndio si lazima sana kujua kazi zao,lakini cha msingi watu wajue kuwa hawa ndio moyo wa Taifa linapokuja swala la USALAMA WA TAIFA.yaani mambo yote yanayotishia ustawi wa maisha yangu mimi,wewe,jirani yako,mkweo,binamuyako,shangaziyako,mwanao,na kizazi cha mtoto wako,hawa ndio watu wa kwanza kujua.Na pengine kwa faida yako unaweza wewe na watanzania wengine tusijue kuwa kunawakati adui alikusudia kutudhuru lakini kwa uwepo wao na ujuzi wa kutambua wanakabilina nae juu kwa juu,kisha wanapima faida za kuweka wazi jambo hilo au kukaa kimya. Wakiona kukaa kimya ni heri kwa faida ya nchi basi wanachuna.Wanakuacha wewe tajiri unakula bata na mkeo Ndani wao wako nje wanateseka na baridi kukulinda,kwa sababu wewe ni mlipa kodi ya Taifa hili unastahiki kulindwa kupitia kodi yako unayolipa. Mfano nitatumia mfano wa masai mlinzi uliyemuacha pale mlangoni si lazima kila siku akwambie kuwa kuna watu wangapi walipita nje ya geti lako au mlango wako.

Ni kazi inayotegemea akili sana [Intellectul]
 
hahahaahaaaaa.....Siwezi amini, kuna mbunge anamtetea Wassira kwa kulala Bungeni eti kadhalilishwa na picha, eti anamjua ni mfanyakazi hodari toka akiwa naibu waziri mwaka 1970 mpaka 1975

Ama kweli bunge la mwaka huu limevamiwa.Mbunge anamtetea waziri anayesinzia kazini !!!!.Enzi zetu kusinzia kazini liliikuwa kosa kubwa.
 
Kwa hiyo JK anaongozana mara nyingi na huyu Maji Marefu uko ughaibuni!!! sasa hapo utaona jinsi gani hizo safari hazina faida kwa nchi yetu, huyu si mganga wa kienyeji anaejiita Profesa!!

Anatoa ulinzi kwa mheshimiwa rais, sim unakumbuka mlinzi wake wa zamani ameshatangulia mbele za haki.
 
wabunge wa magamba wamebaki kusifia tu na kutaka takukuru waongezewe pesa, hawana jipya
 
Kuna mtu wa CCM anatema cheche za pumba sijapata kuona, Selemani Jafo wa Kisarawe kadai safari za Kikwete ni sawa kabisa kwa sababu Mtume alikuwa akisafiri sana kufanya study tour, pumba fulani hata hazieleweki, hivyo kawashutumu wanaomkosoa Kikwete kwa safari.
hahaah damn ! Ccm na wajinga na wajinga na ccm ! Hahaah chama cha mazuzu.
 
waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa.

Anasema wamekuwa wamekuwa wakikandamiza vyama vya upinzan wakati rasilimal za Taifa kama wanyama hai zaid ya 120 wakiibiwa wakati usalama wa Taifa wapo. Aongelea pia kuhusu Suala la rushwa kwa Dr Hosea kunyimwa makucha katika kukamata vigogo.

Katika wachungaji wanao husishwa na madawa ya kulevya na huyu yumo pia !
 
Ndio si lazima sana kujua kazi zao,lakini cha msingi watu wajue kuwa hawa ndio moyo wa Taifa linapokuja swala la USALAMA WA TAIFA.yaani mambo yote yanayotishia ustawi wa maisha yangu mimi,wewe,jirani yako,mkweo,binamuyako,shangaziyako,mwanao,na kizazi cha mtoto wako,hawa ndio watu wa kwanza kujua.Na pengine kwa faida yako unaweza wewe na watanzania wengine tusijue kuwa kunawakati adui alikusudia kutudhuru lakini kwa uwepo wao na ujuzi wa kutambua wanakabilina nae juu kwa juu,kisha wanapima faida za kuweka wazi jambo hilo au kukaa kimya. Wakiona kukaa kimya ni heri kwa faida ya nchi basi wanachuna.Wanakuacha wewe tajiri unakula bata na mkeo Ndani wao wako nje wanateseka na baridi kukulinda,kwa sababu wewe ni mlipa kodi ya Taifa hili unastahiki kulindwa kupitia kodi yako unayolipa. Mfano nitatumia mfano wa masai mlinzi uliyemuacha pale mlangoni si lazima kila siku akwambie kuwa kuna watu wangapi walipita nje ya geti lako au mlango wako.

Ni kazi inayotegemea akili sana [Intellectul]
Director,
hivyo ndivyo walipaswa wafanye... hapa Tanzania,sivyo!!! mwenda wazimu ndiye anaweza kuwapa credt hawa watu.. hata sitaki kuwaita usalama wa taifa. hawa wa hapa kwetu wanadhalilisha taaluma yao. wapo kimaslahi zaidi,na huo ndo ukweli. kutishiana,ujiko juu,kula rushwa tena kubwa na kulinda mafisadi,, na kuchukuliana mademu.
 
Cry the lost UWT. Ule uliosimamia ukombozi wa kusini mwa Afrika?! Utauona wapi tena waliobaki taja majina ya wakuu wao utajua hali ni mbaya kwelikweli.Uteuzi wa kisiasa na udini umewamaliza kabisa. Wao polisi, na takukuru eti kitu kimoja, duh!! usiulize.
Mafisadi wamehakikisha hawana meno tena.
CDM unasubiriwa kujenga na kurudisha heshima na hadhi ya UWT, iliyoporomoka kiasi cha kuiacha nchi iko hoi kila nyanja.
 
Bunge la leo nimelipenda!! Rozi kamili nae kawapa ukweli, ila Msigwa kweli ni jembe!!
 
Back
Top Bottom