Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM

Piere. Fm

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,208
1,170
waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa.

Anasema wamekuwa wamekuwa wakikandamiza vyama vya upinzan wakati rasilimal za Taifa kama wanyama hai zaid ya 120 wakiibiwa wakati usalama wa Taifa wapo. Aongelea pia kuhusu Suala la rushwa kwa Dr Hosea kunyimwa makucha katika kukamata vigogo.
 
Yeah,i heard him,mama akamwambia kuwa mzuka wa gospel umepanda.ameongea ukweli kabisa........tusubiri kivip watamjibu
 
sasa hivi ni mheshimiwa Mnyika anaendendelea mheshimiwa Mnyika kaongelea pesa nyingi zinavyotumika katika safar za bwa mkubwa, afafanua zaidi kuhusu kwa kurefer bajeti ya zambia ambayo imeelezea hadi safari za nje atakazofanya Rais.
 
Codes and ethics za usalama wa taifa zinategemea umefundishwa wapi, kama ni USSR basi usalama ni wa chama. Kama ni Israel basi unapata ile cream ya usalama wa taifa. Sasa sijui kama hawa jamaa wa CCM wanaelewa kitu. Maana hata documenti nyingine chafu za kifisadi bado zinaitwa nyara za serikali. Usalama wa taifa unatakiwa kuexpose all dirty documents. Labada hawana hata policy mbalimbali za kuwasaidia katika utendajia wao wa kila siku. Kwa kweli usalama wa taifa/CCM bongo ipo kazi.
 
Anaitwa Munde Tambwe Abdalah. Toka viti maalum magamba. Inaonyesha elimu dunia imempitia mbali sana. Maana anaongea pumba tupu!
 
Usalama wa Taifa nao wana njaa na wao wanaganga njaa. Masrahi yao kwanza ya Taifa baadae ndo ilivyo
 
Kuna mtu wa CCM anatema cheche za pumba sijapata kuona, Selemani Jafo wa Kisarawe kadai safari za Kikwete ni sawa kabisa kwa sababu Mtume alikuwa akisafiri sana kufanya study tour, pumba fulani hata hazieleweki, hivyo kawashutumu wanaomkosoa Kikwete kwa safari.
 
yeah yeah yeah! napenda wanavyofuka moshi hao wabunge wa magamba,
 
Maji marefu.......anamsifia HOSEA,na anataka mkurugenz wa wa takukuru na TAKUKURU WAONGEZWE PESAAA.......
 
Back
Top Bottom