Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Aliyekuwa Gavana wa Califonia, Anold S. alizaliwa ulaya na kukulia marekani, wamarekani, Obama kazaliwa Hawaii baadaye kachaguliwa kuwa seneta wa Illnois (Chikago). Viongozi wengi tanzania wanafanya kazi nje ya mikoa waliyozaliwa. Tunaukataa huu ubaguzi wa mkoa, kanda na aina zote za kubaguana kwa nguvu zote. Sote ni watanzania wenye haki popote mradi sifa zinazotakiwa anazo.
Mkuu,
nimekupa thanx lakini naona haitoshi, imebidi niku-quote.
Yaani humu ndani tuna wabaguzi..hata makaburu hawakufikia level hii!!