Bunge linapopendekeza kununua mafuta ya "Kidebe" baharini, Waziri January usikubali huo uharamia!

Ahmed Shabiby aliiweka hoja yake vizuri tu na watu wakamuelewa,hebu na wewe tueleweshe, hoja yako ya msingi ni ipi ili tupime na tuamue cha kufanya mkuu
 
Sasa unapoona mmbunge anashauri hadharani serikali ijikite kununua hayo mafuta ya magendo kinyemela bila kufikiria implication za diplomatic relations kwenye international community inakuonyesha ufinyu na ulimbukeni wa watu tunaochagua kutuwakilisha.
Serikali inunue yake na wafanyabiashara waachwe wakanunue popote

Ni ni kweli kuna machinga wenye Mali wauza mafuta wengi sana Baharini huko bei ndogo .Wanakoyatoa sina haja kujua ila wapo kibao kutembea mafuta huko na huko kama machinga anavyotembeza nguo mitaani.Waweza Saidia kushusha bei ya mafuta
 
tuna subiri wakenya wachimbe mafuta tununue... wakenya harakisheni mafuta ni mgodi wenye thamani kwa sasa MK254
 
Serikali lazima itenge bajeti kubwa mwaka huu na waiwezeshe kampuni yao ya mafuta kuwa muagizaji na mnunuzi wa mafuta Nchini japo uzoefu unaonyesha mashirika ya serikali yamekithiri kwa wizi na inefficiency..

Nchi zingine zimeweza ila hapa Tzn ni shida,napendeleza kampuni hiyo ya serikali iendeshwe kwa ubia na wawekezaji binafsi ndio mambo ya inefficiency yatapungua..

Kama hili haliwezekani kuwe na strategic reserves ya mafuta in case of balaa.
 
Serikali inunue yake na wafanyabiashara waachwe wakanunue popote

Ni ni kweli kuna machinga wenye Mali wauza mafuta wengi sana Baharini huko bei ndogo .Wanakoyatoa sina haja kujua ila wapo kibao kutembea mafuta huko na huko kama machinga anavyotembeza nguo mitaani.Waweza Saidia kushusha bei ya mafuta
Si kila mtu angefanya mchana kweupe kama hakuna implications za kufanya biashara na nchi zenye sanctions.

Ata Tanzania kujikinga na mafuta ya magendo waletaji inabidi waweke risiti zako serikali iweze trace wanapoyatoa kukwepa migogoro ya kimataifa. Inakwambia mfumo wa BPS upo kwa sababu za kiusalama pia.

Tatizo ni viongozi wa Africa na AU hawana agenda za usalama wa bara kwa pamoja.

Wao wakiwa huko UN kila nchi inajiamulia kwa msimamo wake au kuburuzwa na mabeberu katika mambo yasiyotuhusu kama huu mgogoro wa Russia.

Wazungu wana agenda zao na EU wakiamua wanaamua kwa pamoja wapo tayari kuishi na hizo consequences za maamuzi yao. Ila tunajisahau wenzetu wana means, resources na risk mitigation strategies za kupunguza athari za maamuzi yao.

Sisi tunaburuzwa tu nchi gani ya Africa ulisikia ikisema kabla ya hizo sanctions hakikisheni kwanza OPEC itaongeza production, au mtu ruhusu sisi maskini kununua mafuta ya Iran, au hizo sanctions za Russia ziwe za nchi za kwanza tu maana wao ndio wanaefanya nae biashara kubwa, sisi waafrica tuendelee nao kama kawa.

Ni hivi viongozi wetu wanahitaji kutoa sababu za madhara ya maamuzi ya mabeberu kwa nchi zetu. Sio lazima tuchague upande kwenye maazimio yao ambayo ayatuhusu. Muhimu ni viongozi wetu kuuliza implications ya hatua zao kwenye bara letu ambapo watu wengi wanaishi kwa $1 mpaka $3 kwa siku, kupigia kura vitu vinavyoenda umiza hao watu bila ya kuhakikishiwa risk mitigation approach ya bara kwanza ndio upoyoyo wenyewe.

So we are to blame, the Africa Union is just a useless organisation and so are the individual state leaders in our continent.

Dunia ya leo huna national security strategies za kulinda uchumi wako; only in Africa.

Sio kila kitu cha wazungu tukubali kichwa kichwa huko UN lazima tuangalie maslahi ya bara kwanza.
 
Wewe usilete ujuaji wako wa kipimbi,kwamba Bunge lote halina watu wenye akili ila wewe?

Utaratibu unaopendekezwa ni mzuri na Wala hauna shida yeyote kwa sababu ndivyo hufanyika all over..

Jambo la msingi ni kuimarisha strategic reserves tuu.
 
Chawa unapenda kitonga.

Rahisi gharama!
 
Upo sahihi sana mkuu, miafrika haijuagi inasimamia jambo gani........yenyewe ni kujikombakomba na kuburuzwa na wazungu.....pamoja na organizations zao za SADCC, ECOWAS, AU, EAC bado wazungu wanatuamulia rafiki na mtu wa kushirikiana naye kama mazuzu vile. Yaani tunaacha kununua mafuta ya bei chee ya urusi na hata ya kutoka Iran kisa tunamwogopa mzungu kaweka vikwazo, Afrika hovyo sana....
 
Hatuna risk mitigation strategies ya jambo lolote ndio maana uwa hatujui madhara ya maamuzi yetu kwenye ku support agenda za mabeberu.

Na hatujifunzi lolote na experience za nyuma, kuchukua tahadhari za miaka ya mbeleni.
 
Wewe usilete ujuaji wako wa kipimbi,kwamba Bunge lote halina watu wenye akili ila wewe?

Utaratibu unaopendekezwa ni mzuri na Wala hauna shida yeyote kwa sababu ndivyo hufanyika all over..

Jambo la msingi ni kuimarisha strategic reserves tuu.

Soma hayo masharti ya kushiriki kwenye BPS kwanza ili kuondoa magendo.

Chances are kutokana na hizo condition ngumu za washiriki wa BPS kufanya magendo. Huyo fisadi Shabiby kapewa mtonyo na mtu ambae kwa sasa anashiriki kwenye BPS anajua kuyaleta hayo mafuta nje ya mfumo, Shabiby anatumiwa tu kufanya lobbying.

Mambo kama hayo either yawe state sponsored (litakalo tokea wawe tayari) lakini sio wapuuzi wachache wakiindi wailetee nchi madhara ya kukosa misaada/mikopo itakayoumiza watu maskini.
 
Mikopo kwa ajili ya nini? Ongea ueleweke sio kuandika kama umebanwa na gogo.
 
View attachment 2180245
Iran na Venezuela ndio sehemu pekee utakayopata hayo mafuta duniani. Sio Shabiby pekee anaejua; it’s common knowledge kwa wanunuaji wote wa mafuta hasa hao wanao nunua in Bulk Procurements.

Ndio maana kuna vigezo luluki kabla ujasajiliwa kuweza ku bid BPS Tanzania. Moja wapo ni certificate ya kuweza kununua mafuta na mahala unapoyatoa ili nchi isiingie kwenye migogoro ya kimataifa kwa kuchukua mafuta ya magendo. Shabiby anapendekeza tuachane na utamaduni huo, serikali ifanye mambo kiholela.

Lakini sio dunia aijui kuna ghost tankers, tatizo ni hiyo ni illegal business kutokana na vikwazo walivyowekewa hizo nchi.

Sasa unapoona mmbunge anashauri hadharani serikali ijikite kununua hayo mafuta ya magendo kinyemela bila kufikiria implication za diplomatic relations kwenye international community inakuonyesha ufinyu na ulimbukeni wa watu tunaochagua kutuwakilisha.
Tukachukue ya Russia pia.
 
Upo sahihi sana mkuu, miafrika haijuagi inasimamia jambo gani........yenyewe ni kujikombakomba na kuburuzwa na wazungu.....pamoja na organizations zao za SADCC, ECOWAS, AU, EAC bado wazungu wanatuamulia rafiki na mtu wa kushirikiana naye kama mazuzu vile. Yaani tunaacha kununua mafuta ya bei chee ya urusi na hata ya kutoka Iran kisa tunamwogopa mzungu kaweka vikwazo, Afrika hovyo sana....
Acha kupayuka,hakuna anaeamuliwa ,kila Nchi inachagua inavyopenda.
 
Back
Top Bottom