johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,677
- 143,072
- Thread starter
- #21
Mfanyabiashara hana kitu cha bei nafuu zaidi ya kile kinachokaribia kuoza!Cha muhimu tupate mafuta yenye ubora kwa bei nafuu ili bidhaa zetu zishuke bei na maisha yaendelee