Mahkama ya kadhi si ibada ni chombio cha kutoa huduma katika mambo muhimu ya Ustawi wa jamii kwa mujibu wa misingi na sheria za dini ya Kiislamu. Mahkama hiyo inahusika sana na mambo ya Ndoa, Talaka, Urithi, na malezi kwa watoto hasa mayatima. Hivi ni vitu vya msingi katika ustawi wa Jamii. Katika Jamii ya Kitanzania hebu sema ni wangapi waislamu na wanahitaji huduma hii? Kwa nini uwanyime?
Mufti alisema kwa msisitizo ni ibada wewe unakanusha tumsikilize nani,au nani yuko sahihi? Au kila mtu ni msemaji, a bit confusing.