Bunge la Yemen kuitambua rasmi US na UK kama mtandao wa Ugaidi Duniani

Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.

Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui wa Yemen kisheria na kwamba kwa namna yeyote ile wanapokutana ni mapambano tu.

View attachment 2878572
Hapa patamu. Ngoja tuone wazungu wakitoa mimacho kama kenge.
 
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.

Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui wa Yemen kisheria na kwamba kwa namna yeyote ile wanapokutana ni mapambano tu.

View attachment 2878572
Imani hii ni tata sana!! Nadhani wote subirini moto tu
 
Waarabu wote siku zote wanawatambua US kama adui Yao ila ndio hivyo msimamo wao hauna impact yyte.

Kwenye hii habar sijaelewa kitu, ninachojua Yemeni Kuna sehemu inaongozwa na waasi wa Houth na sehemu nyingine inaongozwa na serikali yenyewe halali ya Yemen ambayo hawapatani na Houth sasa hilo bunge lililotoa hilo azimio ni lipi?
 
Yemen ni moja ya nchi masikini dunisni, tena ni maskini mpaka wana funza kwenye miguu, hawana impact yoyote kwa maamuzi hayo, yaani wanajisumbua tu. Badala ya kudeal na umaskini wao wanajitutumua kushindana na nchi ambazo zimewaachw mbsli miaka mis mojs

Nasubiri matusi kutoka kwa wayemen wa buza
Sentensi ya mwisho ni tamu sana 🤣🤣🤣
 
Kumbe kuna nchi inaitwa Yemen

Ooo ivii duniani umaarufu wao unatokana na nini haswaa

Au kwa kuwai mabikiraaa
 
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.

Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui wa Yemen kisheria na kwamba kwa namna yeyote ile wanapokutana ni mapambano tu.

View attachment 2878572
Kituko hiki.....

Sisimizi anajaribu kumtisha Tembo
 
Bunge la Yemen leo limepitisha rasmi kuwa sheria na kutambua serikali za Uingereza na marekani kama mtandao wa ugaidi duniani.

Hii maana yake ni kwamba kuanzia leo Uingereza na marekani ni maadui wa Yemen kisheria na kwamba kwa namna yeyote ile wanapokutana ni mapambano tu.

View attachment 2878572
Hahaaaaa ,Yemen vichwa vibovu haswaa
Mashoga wameyatimba this time
 
Back
Top Bottom