Bunge la Uingereza kumjadili Trump

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
429
61
Leo Jumatatu bunge la Uingereza litakuwa na mjadala wa kihistoria katika siasa za nchi hiyo.Mjadala utakuwa ni kuhusu uwezekapo wa kumzuia mgombea kiti cha urais kwa chama cha Republican Donald Trump kuingia nchini humo kutokana na kauli zake za kibanguzi dhidi ya waislamu.Ikumbukwe kuwa kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni alisema kuwa anakusudia kuwazuia waislamu kuingia nchini humo iwapo atachaguliwa kuwa raised was nchi hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi novemba mwaka huu
 
Leo hii hilo swala aliloongea trump. Anaonekana ni mbaya siku akichaguliwa kuwa rais wa marekani itaoneka wamarekani ndio wamesema kwa kupitia sanduku la kula na ninamshukuru trump kwa kuto kuwa mnafiki. Na hao waingereza waache waendelee kupoteza muda wakati trump ndio anazidi kuchanja mbuga kuingia ikulu ya marekani na waislam watakiona cha mtema kuni.
 
You must have been sick..if you are supporting Mr. Trump
 
Leo hii hilo swala aliloongea trump. Anaonekana ni mbaya siku akichaguliwa kuwa rais wa marekani itaoneka wamarekani ndio wamesema kwa kupitia sanduku la kula na ninamshukuru trump kwa kuto kuwa mnafiki. Na hao waingereza waache waendelee kupoteza muda wakati trump ndio anazidi kuchanja mbuga kuingia ikulu ya marekani na waislam watakiona cha mtema kuni.
We akili kuambiwa Trump anasema "watu weusi ni Nyani" na Mexican ni wasambaza Maradhi na African American ni Km dogs!
Basi akili yako ilivyo mbovu unadhani kawatukana waislamu tu.

Miafrika mingine ni mizigo tu.
 
Kwa mwislam ambae haujawahi kupanda ndege wala kuota kila siku unanimg'ininia kwenye
Daladala wakikwambia usiende marekani utaathilika na nini?
Na trump alichosema atawaludisha wageni wote
Ambao waliingia marekani bila vibari yupo sahihi kama alivyo fanya makufuri
Na tena akasema hataki waislam waiimgie marekani waliopo hao hao wanatosha na watakuwa chini ya uangalizi maalumu
Wewe muislam ambae unaishi gongo la mboto huwezi kuwapangia wamarekani kwenye nchi yao.
Na wakati wewe hauna hata uhakika wa kula kama unaelewa mdogo huwezi kumuelewa trump anamanisha nini? Kwenye nchi yake.
 
Kuning'imninia ndio kufanyaje tena?
.
Na hicho "KIBARI" ni kitu gani!
Mbona nyie wahehe mnatuchafulia lugha namna hii?
Kambaffff.
Halafu ktk kitu cha maana umeona ni kupanda ndege.
.
Kaaz kweli kweli.

Cc faby
 
Wewe endelea kuleta uswahili kwenye nchi za watu.
 
Naona dalili za wamarekani kulalamika wananyanyaswa huko Asia hususan Arabs hivi Asia hakuna wamarekani wanaoishi huko hii sera itakuwa chungu Zaidi kwa wamarekani subiri tuone
 
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka Foreign affairs kuna Wamarekani zaidi ya 90,000 wametapakaa ktk nchi za Kiarabu wanafanya kazi.

Hawa ni Professionals tupu ambao wamejisajili ktk Balozi zao huko uarabun.
Bado wale wafanya kazi zisizo rasmi.
Hawa hawakulikani Idadi yao.

Trumph anatafuta Kura tu. Hawezi kufanya upumbavu huo kwa vitendo.
Kwani hajui balaa itakayo mtokea?

Waarabu wana shida ya Kwenda USA?
Zile kampuni za Kimarekani zilizoko huko Arabuni zikipigwa teke hasara atapata nani?
Mchina na Russia wanasubiri tu kisanuke wachukue tenda huko Gulf.
 
Kwani waarabu hawajarundikana Marekani?
 
Kwani waarabu hawajarundikana Marekani?
Teh teh teh.
Unaniuliza Mimi?
We kweli mkulima.

Asilimia 90% Ya Waarabu walioko USA ni RAIA.
nenda Dearborn Michigan utakuta kizazi cha 6 cha waarabu pale.

Hao wamarekani wa kuzaliwa.
Babu wa 6 kazaliwa hapo.

Sasa utalinganisha na hao makafiri walioajiriwa na waarabu?

Tumia kichwa kidogo mkuu kabla ya kuuliza.
Waarabu wakiamua wanapiga teke Wazungu wote kwao.

LKN Hakuna nchi ina ubavu wa kufukuza Raia wake hatta siku moja.
 
We akili kuambiwa Trump anasema "watu weusi ni Nyani" na Mexican ni wasambaza Maradhi na African American ni Km dogs!
Basi akili yako ilivyo mbovu unadhani kawatukana waislamu tu.

Miafrika mingine ni mizigo tu.
Trump ndiye rais ajaye wa Marekani, ni afadhali ujifunze sasa kumuelewa kwa akili yako badala ya kusubiri wengine wakusimulie walivyomuelewa, halafu wewe nunenfe hisia/ msimamo kwa kupitia uelewa wa wengine.
Ni suala la nuda, ila amin kuwa utamkubali tu.
 
Lakini haya mauwaji yanayofanywa na Islamic states mbona yanaumiza kuliko kauli za Trump. Nafuu huyu jamaa awamalize hawa wanaochinja watu kama wanyama
 
Fikra zako zinaonekana kwenye Avatar yako.
Mwafrika unathamini Member of KKK?
Utumwa wa akili ni mbaya kuliko wa mwili.
Achaguliwe Trumph au Trumpet nothing will change.
Same all same all.

Obama alikuja na speed mara mia ya huyu KKK hakuna la maana kafanya itakuwa huyu muuza masufuria.?
Wanaompinga Trump ni Magaidi.Siungi kauli moja ya kuwa mbaguzi wa Waislam na hilo chama itamuweka sawa ila kupambana na Magaida nampa zote na namuona yeye ndiye mwenye mwelekeo kuliko Cruz
 
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be Recolonized”

American business mogul Donald Trump has said that Africa needs to be recolonized. This time around he has directed his anger to African leaders who according to Trump, have failed to exercise leadership and are keeping their people in worse conditions.

Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they claim they are independent.

Trump was responding to a question by a South African journalist on whether he thinks African leaders were right to seek mass withdrawal from the Hague based International Criminal Court.

“It is shameful for African leaders to seek exit from ICC. In my view, these leaders want to have all the freedom to oppress their poor people without anyone asking them a question. I think there is no shortcut to maturity and in my view, Africa should be recolonized because Africans are still under slavery. Look at how those African leaders change constitutions in their favour so that they can be live presidents. They are all greedy and do not care about the common people” Said Trump

“When I saw them gang up against ICC yet they can’t even find an amicable solution for the ongoing quandary in Burundi, I thought to myself these people lack discipline and humane heart. They can’t lead by example. The only thing they are interested in is accumulating wealth from poor tax payers. Before they think of exiting from ICC, they should first restore peace in Burundi and other war-tone countries rather than gathering like hyenas with the aim of finishing the poor people” Added Trump.
 
Back
Top Bottom