Bunge la katiba litarushwa live, je litakuwa ukumbi gani pale Dodoma?

mutabilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
305
80
Wanajanvi napata mawazo juu ya nn utakuwa ukumbi wa bunge maalumu la katiba na pia endapo mikakati maalumu ya kuweza kuonyesha Bunge hilo kama imeshaweka wazi.

Tunaweza kuona kama hoja hii si muhimu lakini niwape habari kuwa mabadiliko mengi yaliyotokea miaka michache iliyopita yametokana na kuonekana kwa mijadala mikali pale abungeni na wananchi wakaelewa nn viongozi wao wanafanya.

So, Naomba tulijadili hili na yeyote mwenye mawazo tafadhali huu ni wakati muhimu wa kujenga taifa letu, so tutoe mawazo yetu.
 
Kwa mujibu wa taarifa za awali ni kwamba vikao vya bunge maalumu la katiba litaendesha vikao vyake katika ukumbi wa sasa wa Bunge. Mpaka sasa haijafahimika kama litarushwa moja moja(live) ingawa ni shauku ya watanzania kuona kitakachokuwa kikiendelea moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom