Nafungua TBC naina kuna miziki napenda kujua vp walisema watahairisha kikao cha jioni au
TBC ??WEWE BADO UNAANGALIAGA TBC ANGALIA MLIMANI TV AU STAR TV
acha uzayuni
hata huko startv wanaonesha viduku tu...mlimani huwaga wanajiunga tbc, kwa hiyo kama tbc hawarushi basi hata mlimani hawana ubavu wa kurusha!!! shame on those stations....wanaogopa tena kurusha live mambo kama yale ya mnyika ...lol!!!TBC ??WEWE BADO UNAANGALIAGA TBC ANGALIA MLIMANI TV AU STAR TV
acha uzayuni
Spika amegundua kuwa bar zinakosa wateja watu wanasingizia kuangalia bunge huku serikali inategemea bia kupata makusanyo ya kodi. Hivyo ameahirisha bunge watu mkapige ulabu ili kulipatia taifa kipatoWakuu vipi mbona bunge halionyeshwi, kunani?
TBC ??WEWE BADO UNAANGALIAGA TBC ANGALIA MLIMANI TV AU STAR TV
acha uzayuni
Wakuu vipi mbona bunge halionyeshwi, kunani?
Wakuu vipi mbona bunge halionyeshwi, kunani?