Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

Watu wa mikoani mna shida, yaani hizo nyumba zinazojengwa na watu wa kawaida kule Chanika, Bunju, Mbande, Mbagala, n. K mjini ndio za kifahari mikoani
 
Mawazo ya kipuuuuzi sana. Kujadili maisha ya watu na wakati ulipo unaogopa hata kuweka mahali unapoishi na kuweka picha na majina yako. Kuweka mawasiliano yako tuuu unaogopa. Upuuuzi wa kusadikika ukiwa nyuma ya keyboards

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu si nitakutukana Bali uwezo wa kufikiri kwako ni mdogo hata yule mwanangu wa chekechea huna hadhi ya kufananishwa nae yaaan kwa uwezo wangu hako kajumba ni kadogo sana si wote wanapenda show off za kifala kama hzo tukiweka za kwetu humu sema za jf zitajaaaa kima mkubwa wewe alafu sinaga muda wa kipumbavu kujadili mambo ya MTU Bali huwa nacomment panapo bidi popoma usiejitambua kabisa
 
Anasema reporter wa Millard ayo kutoka Bukoba,

Pembeni kidogo kwa Ruge Mutahaba, Kuna Jirani ambao wana majumba yanatisha, hii ni nyumba ya Mr Rutabingwa huko Kabale

View attachment 1036216

Kuna na nyingine za vijiji vya huku bukoba

View attachment 1036216View attachment 1036269View attachment 1036270View attachment 1036271View attachment 1036271View attachment 1036272
Nitaamini vp hapo ni bukoba maana hata uchagani kuna migomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mikoani mna shida, yaani hizo nyumba zinazojengwa na watu wa kawaida kule Chanika, Bunju, Mbande, Mbagala, n. K mjini ndio za kifahari mikoani
Duu Acha dharau unalinganisha nyumba za chanika sijui mbagala kuu na rangi tatu slums hizo ni mijumba ya watu vijijini?.
Ama kweli watu mna wivu kweli.
Kwanza we ni wa wap Kwanza chimbuko lako maana wazaramo ndo wenyeji wa dar na wenyewe wamesukumizwa huko vigunguti!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazipeleke uchagani kuzishindanisha ndiyo utapata majibu. Za kawaida sana hizo nyumba. Yaani kawaida mno. Nimepita mikoa mingi Tanzania. Sijaona Mkoa ambao vijijini umeendelea kama Wilaya za Hai, Vunjo, Rombo au intake kabisa kuwa maeneo ya Machame, Marangu, Kirua Vunjo, Kibosho,Uru, Rombo n.k ,. Kwa kifupi wachaga wanaongoza Tanzania mzima ikiwemo huduma za jamii kama maji na umeme.

Nitasema hili kama mtanzania ambaye siyo mchana ila ukweli ni lazima niseme hata kama wengine mtapinga.
 
Kwa hiyo huku unamtangazia Nani? Subiri nawe mchaga maarufu akifa ndo uje utoe ushuhuuda wako.kwa sasa Acha watu wajisifie na vya kwao.halafu unavyosema kama vile moshi hatupajui unavyoexagerrate kama vile kuna Rita's tower Tu moshi wakati nyumba za huko ni za kawaida Tu.

Pia huu Uzi haujaletwa hapa kutengeneza battle

Anyway karibu uhayani
tapatalk_1551547964093.jpeg
tapatalk_1551547966162.jpeg
tapatalk_1551547971822.jpeg
FB_IMG_15498987209698037.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom