Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

3trilion?? U gotta be kidin me.. Kwel sis tumezid sifa mpaka tunadanganya... Hv cc tunaichukulia poa dubai eenh.. Au watu wanadhan dubai ni kama dar au arusha... It will happen lakini ni 50+years later... Sisi tukifikia level za dubai cjui wenzetu watakua level za peponi...?? Napita tu
 
Wana-Bukoba tusikate tamaa, maendeleo hayaji bila jasho/pesa. Tusiwasikilize hao waswahili wa RUFIJI sisi tusonge mbele. Tena ingependeza ofisi za TFF zihamie BUKOBA AIRPORT.
 
3trilion?? U gotta be kidin me.. Kwel sis tumezid sifa mpaka tunadanganya... Hv cc tunaichukulia poa dubai eenh.. Au watu wanadhan dubai ni kama dar au arusha... It will happen lakini ni 50+years later... Sisi tukifikia level za dubai cjui wenzetu watakua level za peponi...?? Napita tu
ACHENI SIFA ZENU WENGI WENU TOKA MCHAGULIWE FORM ONE HAMJAKANYAGA KWENU
 
Michango inazid kuingia mpaka sasa tuna hela ya kutosha kuanza FLY OVERS 5 hapa Bukoba mjini. BK ndo home hatuwezi kujisahaulisha kisa tunaishi NEW YORK eti tusipaendeleze kwetu!!! Hiyo ni NO NO NO!
 
Kweli mkuu. Wamezaliwa hapo walipo na wanakulia hapo hapo lakini akija hapa Jf anataka aongee na ya Kagera kana kwamba aliwahi hata kuuona udongo wake ulivyo. Sidhani hata kama huyo anayedandia hapa anaelewa nauli wenyewe ni kiasi gani, achia mbali kuimudu hata kwa safari moja tu. Wanatakiwa waelewe wahaya ni matajiri na ndo maana wanaweza kugharamia nauli kubwa za kwenda makwao kuliko hata wao ambao wanakaa miaka nenda rudi wakati hata nauli ya kwao haizidi $5. Ingekuwa Kagera si wanahama jumla!!???
Mhaya ni mhaya tu utamjua kwa maneno yake.

Mi naweza kuwa notice wahaya hata kwa kumuangalia toka mbali .

Punguzeni sifa na kujidai sanaaaaa

Zama hizi kila kabila lina wasomi na kila kabila lina matajiri .
 
Michango inazid kuingia mpaka sasa tuna hela ya kutosha kuanza FLY OVERS 5 hapa Bukoba mjini. BK ndo home hatuwezi kujisahaulisha kisa tunaishi NEW YORK eti tusipaendeleze kwetu!!! Hiyo ni NO NO NO!
Aisee huko new york unakaa mtaa gani.. Magomeni au kigogo ... Mana mi mwenyewe nipo kigogo huku
 
Michango tunakusanya kwanani sasa??

Inabidi twende na muda,maana 2017 ipo karibu.
 
Mhaya ni mhaya tu utamjua kwa maneno yake.

Mi naweza kuwa notice wahaya hata kwa kumuangalia toka mbali .

Punguzeni sifa na kujidai sanaaaaa

Zama hizi kila kabila lina wasomi na kila kabila lina matajiri .
Wewe twambie bila kuzunguka, ulienda Kagera mwaka gani na kwa shughuri gani kama siyo kukaririshwa
 
Back
Top Bottom