Bsc in medical laboratory sciences vs Bsc in pharmacy

Hivi wa viungo bandia ajira zao hazisumbui mkuu? Nataka niapply

Sifahamu vizuri mkuu ila nadhani ajira sekta yenu ya afya ni direct ingawa hii awamu ya 5 kama haitabiriki hivi

Wajuvi wa mambo watakuja kutuelimisha zaidi
 
Duh kijana una upeo mdogo sana mtu asome siku 35 aitwe mfamasia. Tembelea ukurasa wangu wa insta uone kazi ndigo sana nayofanya kama mfamasia. Kisha mlete huyo wa siku 35 au wa maabara atest zar. Huyo dogo kama kafaulu vizur asome coz anayopenda kuajiliwa si wakat wa hii awamu ya kazi tu. Kujiajil ndo mpango mzima.kama ufaulu hafifu akalime bustan atatoka tu
 
Attachments

  • Screenshot_2016-08-15-21-49-47.png
    Screenshot_2016-08-15-21-49-47.png
    205.5 KB · Views: 93
Duh kijana una upeo mdogo sana mtu asome siku 35 aitwe mfamasia. Tembelea ukurasa wangu wa insta uone kazi ndigo sana nayofanya kama mfamasia. Kisha mlete huyo wa siku 35 au wa maabara atest zar. Huyo dogo kama kafaulu vizur asome coz anayopenda kuajiliwa si wakat wa hii awamu ya kazi tu. Kujiajil ndo mpango mzima.kama ufaulu hafifu akalime bustan atatoka tu
Unatumia Jina gani instagram kk
 
viungo bandia iko poa sana
Iko poa kivipi heb tuelezee kidogo kwa tusioijua lakini kwa nnavyojua hawa wanaodeal na prosthesis na orthosis hawana salary scale hapa tz,na hospital zinazohitaj hawa watu ni chache na tayar zina watu,na kuestablish kitengo cha viungo bandia kwenye hospitals it worth a lot of money..... But akasome kwasababu uongoz wao upo kwenye ufuatiliaji wa changamoto hizi... Best of lucky
 
wakati tunaangalia ajira tusiangalie ajira za ndani tuu.. tuvuke boda tutoke nje ukisoma hii coz pale kcmc nakuhakikishia ukiwa vizur ata nje utafanya kaz tuu.

japo ni kweli kwa hapa nchini hii fani bado inachanfamoto
 
Experts wa viungo bandia wanabanwa na uongoz kwa kutakiwa kutumikia nchi yao na si kutoka nje... nafikiri ungefatilia kwa undani mengine haitakuwa busara nikiyaandika hapa kuhusu hao wataalam wetu wa viungo bandia
 
Back
Top Bottom