British media regulator revokes Press TV's UK licence!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
The Iranian media body has been critical in UK policies...and had been fined 100,000 pounds earlier..
The Press TV says the freedom of speech being preached by Britain has been breached by UK itself..
They advise people in UK to watch online through a provided link,and that it has 11 satellites in the world...
sourse Press TV..
 
Halafu leseni imekuwa revoked baada ya kuambiwa walipe faini. Press wanashangaa tulipe faini,halafu in a matter of hours,unarevoke leseni yetu?
 
Anashangaa sex channels haziwekewi censorship. Bendera ya UK anaiita ya Wanafiki na si ya Wanademokrasia. Hypocrisy not Democracy.
 
Anasema unafiki utakuja kufika mwisho wake. Anatoa mfano wa Cameron kumbusu pua kiongozi wa Bahrain , na Saudi Arabia. Reaime zao zinaoppress wananchi wao..
 
akasema vijana wengi wa Britain walianza kuifurahia na kuifuatilia Press TV kutokana na kwamba ilikuwa inawapa alternative view,inaonyesha na kuhabarisha watu wa nchi yao hapo UK wanaokuwa oppressed na kuzuiwa kudai haki zao,taarifa ambazo kwenye local channels zao huwa hawazipati. Wanaonyesha matumizi makubwa ya Royal family,etc.
You see that flag on your screen,is the flag of hypocrisy,not democracy: George Galloway
 
Galloway: they think they have done something for Israel.. But I tell you,Israel is in trouble and will continue to be in trouble....
 
wamezuia online site pia? Yaani, presstv.ir

la wameiondoa tu katika Sky platform Uingereza, waweza kuitazama ifuatavyo
You can watch Press TV broadcast from anywhere in the world by visiting the following websites:

· Press TV watch live services (Worldwide)

· Zattoo (Internet platform and IPTV. Supports PC, MAC, Linux and all tablet PCs and smartphones) (UK)


· OHTV Box (Internet Set-top box) (Worldwide)


· Roku Box (Internet Set-top box) (Worldwide) (Available in UK from January 2012)

·
Livestation (Internet platform. Supports PC MAC, Linux and all tablet PCs and smartphones)



You could also view our broadcast through the following satellites:
Hot Bird 8 (13E)
12437
27500
3/4
H

Eurobird 1 (28.5E)
11222
27500
2/3
H

SES ASTRA (19/2E)
12460.50
27500
3/4
H
 
tatizo la wairani ni kuwa kila walichonacho ni fotokopi ya mwingereza na marekani na Irani lazima ipigwe ijue Israel ni taifa la Mwenyezi Mungu kama maandiko matakatifu ya Biblia yanavyoelekeza...........

Salalaaaaaaaaaaaaaaa. Nashanga kuona kuna watu wenye fikra hii eti Israel ni taifa la Mwenyezi Mungu!!! Kama ni Israel hii tunaoijua leo basi Rutashubayuma unahitaji muongozo mkubwa. Unmfahamu Mwenyezi Mungu kweli umnasibishe na Israel??
Hebu tazama mfano huu wa Jinai za Israel. Huu ni mfano tu kuanzia kuoccupy Palestine mwaka 1948 mpaka sasa Waisraeli wametekeleza Genocide mara kadhaa. Haimkini wakawa eti taifa la Mwenyezi Mungu. La hasha
 
Back
Top Bottom