TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,815
- 22,937
Waingereza wanahubiri wasichokitenda! Hiyo haiwasaidii kwani ukweli utaendelea kusemwa tu na wale wanaoufahamu!
Halafu utawasikia(Nchi za Magharibi) lazima nchi zote ziendeshwe kwa demokrasia huku kukiwepo uhuru wa vyombo vya habari. Wanatumia Twitter, facebook na media zao nyingine kuvuruga waarabu na hata waafrika, Wachina, Warusi, na huko amerika kusini kwa kisingizio cha uhuru wa habari lakini uhuru huo huo unapotumika kueleza jinai zao wanazuia. Halafu utawasikia walimwengu wengine wanasifia mara hoo!! nchi za magharabi ni 'mashuuri' kwa Demokrasia nakadhalika ya namna hiyo. Si mnakumbuka kisa cha kuuliwa yule mwingereza mweusi jinsi walivyoshughulikia mitandao ya kijamii ya habari.