Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

Ushauri wangu kwa vijana wadogo mnaotaka mafanikio makubwa.

Kimbia Tanzania haraka na mapema iwezekanavyo, hakuna la maana utakalopata ukijidai we ni mzalendo.

Nimesikitishwa sana kusikia TMT imevamiwa na polisi, hizo sio dalili nzuri nawaambia.

Siku sio nyingi mtasikia mnatakiwa kufunga TMT hadi siku walio na mamlaka wakiamua vinginevyo..

Hii nchi ya kis3ng3 sana, watu wanafurahi wakiona wenzao ni masikini.

Elon Musk ameondoka South Africa kwenda Marekani, leo mnaona anachofanya.

We endelea kubaki Tanzania uendelee kushika bomba la mwendokasi maisha yako yote.
Nakuchek pm lakn inagoma bro

Sent using Moto G4 Plus
 
kumrahisishia asome
1.CURRENCY TRADE FOR DUMMIES BY BRIAN
AKIMALIZA ...
2.TECHNCAL ANALYSIS FOR FINANCIAL MARKET BY JOHN MURPHY(hiki kitamu kwa analysis utajiona wewe boss wa dunia)
then go to live account kabisa(coz unavyosoma upo ktk demo)...

WARUD LIABILITY JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kitabu cha technical analysis for financial market by John Murphy
 
Tanzania is to be build by Tanzanians, starting from inside. In Africa, the only thing top talents do is to run away from their home countries and then helping in strengthening white supremacy. What am trying to say is, leadership must not be the reason for someone to hate his beautiful country. Love you TZ!!

sirjeff habari yako mkuu!? Nakupa pole sana kwa magumu yote unayopitia kipindi hiki ambayo kimsingi naamini hayana sababu za msingi katika kutokea kwake.

Nimesikitika na kughafirika sana baada ya kupata taarifa ya yaliyotokea jana huko TMT empire. Nakumbuka mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliongeza ushawishi wa wewe kuileta forex bongo mnamo mwezi april. Kwa mategemeo yangu nilidhani labda inapata mapokezi makubwa sababu ni mbadala mzuri wa kutatua tatizo la ajira hapa nchini, lakini cha ajabu imeonekana kuwanyima raha baadhi ya watu na hadi kukutengenezea maadaui, daaah... Pole sana homie.

Nchii inatakiwa ijengwe wa watanzania ndio lakini inakatisha tamaa na kuudhi pale wanapotokea watanzania wenyewe kukatisha juhudi za mtanzania mwenzao anajaribu kuijenga nchii hii, na hapo ndio chuki uanzia. Binafsi mimi nna sababu zaidi ya 1000 za kuichukia nchii hii na hili lilitokea huko TMT limeniongezea sababu.

Anachosema Bavaria ni kweli kabisa ukitaka ufanye hizi mambo kwa Uhuru bila bughudha ni heri ujakitaa kabisa ukaenda kwenye zinazoeleweka na hapa mimi mwenyewe na mpango wa kwenda kuweka kambi pale Eastern Cape huku bongo tutakuwa tunakutana X-mass tu na likizo zingine.

Mimi nakuombea uweze kuyashinda hiyo changamoto iliyotokea jana lakini sidhani kama cremoney atakuwa na ile ile confidence aliyokuwa nayo mwanzo.

Tanzania ni nchii ya ovyoo sana
 
Wish you the best of luck Mr. Ontario.
 
List ya vitabu hiyo hapo

1. Currency trading for Dummies

2. Astrofx (The art of technical Analysis)

3. Naked forex

4. My forex trading bible

5. Forex godfather

6. Japanese Candlestick charting techniques

7. Trading in the zones

8. How to Trade with price action

9. The ultimate price action trading guide

Ukishavimaliza vyote.....download metatrader 4 kwa pc yako....kisha download Metatrader 4 user guide kutoka google....jifunze jinsi ya kutumia Mt4 platform kwa kutumia user guide uliyodownload kutoka google.

Fungua demo account na demo kwa atleast week mbili....ukishamalizia ulizia Jangid plaza ni wapi...ukifika ulizia ofisi za TMT...ukifika pale fanya mbinu yoyote upate training ya week moja tu kuhusu forex trading.

UKISHAMALIZA HAYO YOTE RUDI HAPA UTUAMBIE KAMA FOREX NI KAMARI AU LA.

KILA LAKHERI BI SHOSTY
Nakushukuru sana na mie mpita njia umenipa wazo,nipo tokea ule uzi wa zamani nipo kitabu cha forex bible sikuwa na mwanga,naongeza bidii sana ili hizo batch zikiisha niwe nimewiva, Hata mkiniambia nilipie Training kwangu sawa tu im all in.
Kikuu nasoma kwanza nielewe shukrani Kaka.
 
Mambo vp kaka mm nipi interested sana na hii biashara ya forex ila sijuwi pa kuanzia nimejaribu kudownload vitabu kama naked forex na the forex bible ila i need an asistance on this please kama kuna njia unaweza nisaidia broo mm niko Moshi Kilimanjaro

Hope utanisaidia ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
ynnobygger
Vitabu hivyo hapo,shukrani za kipekee kwa Mwl.RCT Ulinisaidia sana thread ya zamani nilikuwa napakua tu.
Tujifunze kushare wengine mliouliza keisangora na waza_makubwa
U r welcome,Natumai tutaonana batch za mbeleni :)
 
Attachments

  • The Forex Bible.pdf
    16.6 MB · Views: 84
  • Naked Forex High-Probability Techniques for Trading Without Indicators -Wiley Trading.pdf
    7.5 MB · Views: 480
  • Astro+FX+Training+Book (1) (1).pdf
    14 MB · Views: 118
  • ct-dummies-FOREX.pdf
    1.7 MB · Views: 77
  • Profitable-Trading-Strategies-Ebook.pdf
    3.5 MB · Views: 4,350
Watu tulishayaona haya yanakuja miaka 20 iliyopita, tukaamua kupiga kura kwa miguu kutafuta maisha sehemu nyingine.

Lakini usikonde, tutaitoa tu.They can't fight the time.

Hata mimi mwenyewe safari niliipigania miaka nikawa kama naona haiji vile, washkaji zangu wote wakasafiri.

Nikaona kama nitalosti bongo.

Basi time yangu ilipofika, nikapata safari moja nzuri sana ile yani si ya kawaida, ni ya kuandikwa kwenye vitabu kwa jinsi ilivyokuwa ya kipekee.

Namaanisha unaenda ubalozini kuchukua viza ya Marekani unatenganishwa na wabongo, unakwenda mstari wako peke yako kwa sababu wewe uko na safari tofauti sana.

Kwa hiyo hawa watu wenye roho za korosho watajaribu kubana tu, lakini ukweli ni kwamba kupambana na haya mambo ni kama ujaribu kupambana na bamvua la bahari kwa kutumia ndoo.

With the right time, determination, hard work etc, no one can stop you.
 
pole sana mkuu ila nashindwa kuelewa kwanini watu wanatumia nguvu kubwa hivi kukwamisha malengo mazuri uliyonayo juu ya nchi yako... pamoja na hayo napenda kuwaambia tu wale wanaokwamisha harakati hizi wameshachelewa saaaaana..!
Wanajua ni enzi za nyerere duka moja kijiji kizima. au Tupo north Korea .ila sometime kumbe ujamaa ni mbaya sana
 
Mkuu naomba kitabu cha technical analysis for financial market by John Murphy
poa...baadae ntatupia humu subir nkpakue
sirjeff habari yako mkuu!? Nakupa pole sana kwa magumu yote unayopitia kipindi hiki ambayo kimsingi naamini hayana sababu za msingi katika kutokea kwake.

Nimesikitika na kughafirika sana baada ya kupata taarifa ya yaliyotokea jana huko TMT empire. Nakumbuka mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliongeza ushawishi wa wewe kuileta forex bongo mnamo mwezi april. Kwa mategemeo yangu nilidhani labda inapata mapokezi makubwa sababu ni mbadala mzuri wa kutatua tatizo la ajira hapa nchini, lakini cha ajabu imeonekana kuwanyima raha baadhi ya watu na hadi kukutengenezea maadaui, daaah... Pole sana homie.

Nchii inatakiwa ijengwe wa watanzania ndio lakini inakatisha tamaa na kuudhi pale wanapotokea watanzania wenyewe kukatisha juhudi za mtanzania mwenzao anajaribu kuijenga nchii hii, na hapo ndio chuki uanzia. Binafsi mimi nna sababu zaidi ya 1000 za kuichukia nchii hii na hili lilitokea huko TMT limeniongezea sababu.

Anachosema Bavaria ni kweli kabisa ukitaka ufanye hizi mambo kwa Uhuru bila bughudha ni heri ujakitaa kabisa ukaenda kwenye zinazoeleweka na hapa mimi mwenyewe na mpango wa kwenda kuweka kambi pale Eastern Cape huku bongo tutakuwa tunakutana X-mass tu na likizo zingine.

Mimi nakuombea uweze kuyashinda hiyo changamoto iliyotokea jana lakini sidhani kama cremoney atakuwa na ile ile confidence aliyokuwa nayo mwanzo.

Tanzania ni nchii ya ovyoo sana
 
Una hakika watu hawapendi wote wapate?Labda tukumbushane kidogo unazo takwimu ni asilimia ngapi hupata faida na asilimia ngapi hupata hasara na kukata tamaa?Anyway jiulize tu swali ww au mm tutakuwa kundi lipi wanaopata faida au hasara?Takwinu zinaonesha 15% ya retail traders ndio hupata faida nzuri na kuendelea Ku trade 85% ya retail traders hukata tamaa ila wakiamini watarudisha pesa zao.Ushajiulizw kwa nn?Ukimpenda mkeo usitake kila siku usimuliwe mazuri yake tu.Ukisimuliwa na mabaya yake yachukue na uyatafakali usizibe masikio na kuwaita haters wanaokwambia.

Tusiisome forex upande mmoja tu tugeuze na upande wa pili tusome changamoto za forex.

Sio kwamba itakukatisha tamaa hapana itakupa mbinu na njia za kukwepa kifo ktk forex.nasema kifo sababu unaweza poteza 2400$ labda ndio mtaji wako wote huna cha ziada.Then ukimwambia mwenzio yy pesa hiyo kaitengezena lakini kwako umepoteza ikakutia hasira sana.

Binafsi baada ya kusoma vitabu vingi nikamalizia na Forex bible kuna vijistory katika forex bible vinakupa kujiamini Ila mm nimeona sometimes ni upuuzi fulani hivi.

Yote tisa kumi forex haiitaji watu wanaotafuta pesa za matumizi madogo madogo ni vigumu kuelewa hapa ila,Hii ni moja ya kauli zangu so kila mmoja katika forex anaweza kujiundia misingi yake na kanuni zake ili a trade salama.

Ni mtazamo tu.
Kupoteza kupo kila sehemu mkuu .waweza Lima afu mvua isinyeshe mazao yasiote.kila sehemu kwenye maisha ni risk hebu niambie ni wapi hakuna risk.kuna jamaa nimesoma naye kadisco matokeo ya mwaka wa NNE pale cost mkuu. Unapoa mkeo anaweza asizae.hasara sio ya kuogopa katika utafutaji au kifo.majambazi wanakuja mpaka DUKANI KWAKO wanakuambia type hela zetu.

Pia umeshauriwa kuwa cheza unachoweza kukipoteza pia unakuwa internationally notified na news ujue uchumi wa dunia unaendaje.ni nani ana deni,anataka kukopa.yaani unakuwa aware ishu zinaenda.pia why ujiweke kwa wanaofeli.jiweke kwa wanaoshinda.tokea Uzi huu uanze na accumulate knowledge na maoni kwanza ndipo nizame.uzuri Nina uwezo mkubwa sana wa kujisomea na kukielewa KITU.pia kuwa huru kila MTU ana judgement yake.wakati unataka raising WAKO age maana haumpendi MIE nipo tayari kufa ili aishi.unachotupa jalalani MIE nakinunua kwa gharama kubwa sana mkuu. Mawazo yako sio kanuni kwangu na kwa wengine mkuu.

Hapo serikali inapiga vita mana utakuwa unaingiza dolari bila ya kufanya kazi,hakuna kodi kwao.uchumi pia waweza nyumba mana wanataka wengi walime,wafanye kazi mzunguko uwepo.

Tuache tupoteze mkuu kawaida.hapa nilipo nshapoteza Vingi uzuri ni kuwa nilizaliwa nikiwa uchi sina KITU mkononi na nyakufa ivyo ivyo nilivyokuja duniani,majumba,magari,manguo,watu,mapesa na vinginevyo utaviaacha hapa hapa duniani zikiwemo na anasa za dunia.
 
Una hakika watu hawapendi wote wapate?Labda tukumbushane kidogo unazo takwimu ni asilimia ngapi hupata faida na asilimia ngapi hupata hasara na kukata tamaa?Anyway jiulize tu swali ww au mm tutakuwa kundi lipi wanaopata faida au hasara?Takwinu zinaonesha 15% ya retail traders ndio hupata faida nzuri na kuendelea Ku trade 85% ya retail traders hukata tamaa ila wakiamini watarudisha pesa zao.Ushajiulizw kwa nn?Ukimpenda mkeo usitake kila siku usimuliwe mazuri yake tu.Ukisimuliwa na mabaya yake yachukue na uyatafakali usizibe masikio na kuwaita haters wanaokwambia.

Tusiisome forex upande mmoja tu tugeuze na upande wa pili tusome changamoto za forex.

Sio kwamba itakukatisha tamaa hapana itakupa mbinu na njia za kukwepa kifo ktk forex.nasema kifo sababu unaweza poteza 2400$ labda ndio mtaji wako wote huna cha ziada.Then ukimwambia mwenzio yy pesa hiyo kaitengezena lakini kwako umepoteza ikakutia hasira sana.

Binafsi baada ya kusoma vitabu vingi nikamalizia na Forex bible kuna vijistory katika forex bible vinakupa kujiamini Ila mm nimeona sometimes ni upuuzi fulani hivi.

Yote tisa kumi forex haiitaji watu wanaotafuta pesa za matumizi madogo madogo ni vigumu kuelewa hapa ila,Hii ni moja ya kauli zangu so kila mmoja katika forex anaweza kujiundia misingi yake na kanuni zake ili a trade salama.

Ni mtazamo tu.
Halafu katika maisha mkuu usiwe unaweza has I waza chanya pekee mkuu.utafanikiwa mana kila KITU kina hasi na chanya.
 
Ushauri wangu kwa vijana wadogo mnaotaka mafanikio makubwa.

Kimbia Tanzania haraka na mapema iwezekanavyo, hakuna la maana utakalopata ukijidai we ni mzalendo.

Nimesikitishwa sana kusikia TMT imevamiwa na polisi, hizo sio dalili nzuri nawaambia.

Siku sio nyingi mtasikia mnatakiwa kufunga TMT hadi siku walio na mamlaka wakiamua vinginevyo..

Hii nchi ya kis3ng3 sana, watu wanafurahi wakiona wenzao ni masikini.

Elon Musk ameondoka South Africa kwenda Marekani, leo mnaona anachofanya.

We endelea kubaki Tanzania uendelee kushika bomba la mwendokasi maisha yako yote.
Big up sana mkuu.hebu nakuomba uni shekie akaunti kidogo ili nipate viza fasta mkuu.hii KITU vijana wa west Africa wanasaidiana tena sana.ndio mana ukiwa katika European countries wao ni wengi kuliko wa east africa . ila wakenya unawaona kidogo ila sie wa tz unaweza ukaishi NCHI miaka kumi unaonana tu na balozi .
 
Yani jamaaa wanataka daily tuwe tunalalamika tuuuu hawataki tujikwamue
Hivi hujawahi Ona kuna ndugu yako anapenda tu yeye awe na pesa hataki kukuonyesha mbinu ya kupata hela ili kila siku muwe mnamuomba anajiona Mungu MTU anakuwa anafurahi kinyama.mana anajua heshima anaipata.binadamu ndivyo walivyo Hata rafiki yako wa karibu akipata hela afu utoke nyuma umpite utamuona amebadilika.MIE nimeshayashudia Najua na nyie tayari ila tunakumbushana.mana kila siku kwenye ibada ila yanajulikana tunayoenda kuambiwa huko .kikubwa ni kukumbushana
 
Sure ila tutafika tuuu. Penye nia pana njia.
 
kumrahisishia asome
1.CURRENCY TRADE FOR DUMMIES BY BRIAN
AKIMALIZA ...
2.TECHNCAL ANALYSIS FOR FINANCIAL MARKET BY JOHN MURPHY(hiki kitamu kwa analysis utajiona wewe boss wa dunia)
then go to live account kabisa(coz unavyosoma upo ktk demo)...

WARUD LIABILITY JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi naomba utupie humu hicho cha technical analysis for financial market

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom