walioongoza Vita vya Kagera akiongoza moja ya brigedi muhimu za JWTZ
Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.RIP Brig. Gen Kotta...
Mkuu Pasco, hivi huyu Brig. Gen. aliongoza Brigedi gani wakati wa"Vita ya Kagera"?
acha kamba wewe!Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.
Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.
Misa inaendelea St.Alban.
issue ya 2010 !