Brigadier General Kotta-Amefariki Dunia Ghafla!

RIP Brig. Gen Kotta...

Mkuu Pasco, hivi huyu Brig. Gen. aliongoza Brigedi gani wakati wa"Vita ya Kagera"?

walioongoza Vita vya Kagera akiongoza moja ya brigedi muhimu za JWTZ
 
RIP Brig. Gen Kotta...

Mkuu Pasco, hivi huyu Brig. Gen. aliongoza Brigedi gani wakati wa"Vita ya Kagera"?
Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.

Misa inaendelea St.Alban.
 
Misa ya marehemu imemalizika mchana huu, pale St. Alban ikafuatiwa na heshima za mwisho.
Watu ni wengi wamejitokeza wakiwemo waheshimiwa Membe, Tibaijuka, Ole Medeye, Nyalandu, Mzee Mengi, Rugumyamheto, Paul Rupia, Mzee Kassanga, etc, etc.

Kwa wale wazoefu wa waumini wa St.Alban, wanaushirikiano mkubwa sana miongoni mwao wakati wa shida na raha, na inapotokea shida kama msiba, huwa haijalishi msiba ni wa mtu wa status gani, siku zote hujitokeza kwa wingi.

Binafsi nimepata fursa ya kukutana na lots of good old friends tuliosoma nao Tambaza ya zile, akiwemo jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina maaruf la 'Chief'.

Msafara ukiongozwa na piki piki ya Traffic, umeleta usumbufu mkubwa kwa magari kusimamishwa kwa muda mrefu kuruhusu msafara kupiota. Sasa wameelekea kambi ya jeshi ya Lugalo kwa heshima za kijeshi, kabla ya safari ya kuelekea shambani kwake Mapinga kwa mazishi.
 
Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.
acha kamba wewe!

kusema marehemu alikuwa anaongoza brigedi gani nayo siri ya kijeshi? usitake kufanya watu mazuzu humu

taja brigedi aliyoongoza vitani, kazi kujifanya kujua watu kumbe wasifu kamba tupu
 
Baba_Enock, mambo ya ndani ya jeshi, sio vizuri kuyataja hadharani tena uraiani, kwa vile na mimi nilikuwa mjeshi, naomba uoache hivyo hivyo tuu kuwa aliongoza moja ya brigedi muhimu enzi hizo.

Misa inaendelea St.Alban.

Heshima kwako Pasco,

Mkuu kujua afisa wa jeshi alikuwa akiongoza brigedi gani si jambo la siri vipo vitabu vinavyoelezea makamanda na vikosi walivyoongoza wakati wa vita vya Uganda.
 
http://www.tpdf.go.tz/javascript// onMouseOver=
transparent.gif
tpdfwebsite@cats-net.com
DAR ES SALAAM, Tanzania
 
RIP kamanda Kotta.poleni wote mlioguswa na msiba huu.Mungu awape ujasiri ktk kipindi hiki kigumu......Bwana alitoa na Bwana amtwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Poleni wafiwa kwa msiba huu mzito. Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu. RIP Gen. Kotta
 
Ni siku nyingi zimepita, ila General Kotta alikuwa mtemi sana katika mambo ya artillery. Ni karibu miaka mitano iepita tangu afariki ila bado namkumbuka sana hasa pale alipokaimu nafasi ya Brigade Commander wa Brigade ya Magharibi baada ya Brigadier Yusuf Himid kupata mshtuko wa moyo uliotokana na mashamabulizi ya Amini kule Kagera. Rest in peace Commander.
 
Back
Top Bottom