breaking news....

Tayari nimepokea kama PM nane za rushwa ili tusiendelee na hii sredi. Nipokee rushwa mkuu?
nakupata mkuu,ndoa kibao zimetikisika,maana kapo nyingi zilishiriki hilo tamasha ila majina kwa sababu za kiusalama (maana wengine ni viongozi wa kisiasa) nimeyatia kapuni.Ngoja nifanya mpango wa ku delete hii sredi kabla watu hawajaharibikiwa zaidi.Kwa mbali kuleeeee namwona nitonye hoi macho mekundu yuko na.....wanatoka chumbani kwangu.
 
Mkuu equation haijabalance apo rushwa mainaz kamshahara ambako kwa miezi miwili napata client mmoja tu tena analeta kesi ya kudaiwa ili nimtetee asilipe deni. Nafunga ofisi karibuni
Mkuu hamna noma, siku utayoacha kushangilia na kupiga makofi tutamuomba bepari la kihaya likuongezee posho ili ukiwa katika kesi uwajibike vizuri

 
sijambo mpendwa, huyu bishanga dawa yake inacheka, hawezi kutuharibia ndoa watoto wa mwanaume mwenzie.

Bishanga ni kawaida yake swahiba, ndoa yake ikitetereka anataka na za wenzie zitetereke! Afu namshangaa lawyer klorokwini yupo na hamchukulii hatua!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenzenu nawahi airport kuchukua swissair nina miadi na tajiri mmoja london kesho,anataka kufungua kiwanda cha kompyuta bukoba,ngoja ni log off.
guys keep on loving each other,
it was just a bit of making you feel hilarious kidogo,ciao n good evening.
 
Hata mimi nikimnyemelea Lizzy nakuwa nashangaa ung'eng'e unatokea wapi yaani hafla tu nakuwa najiona natema dikshineri vibaya sana wakati kiuhalisia shule nilifkuzwa la saba baada ya kumwekea kioo mwalim wa hesabati? huyu Lizzy lazima atakuwa na DNA ya shekoslovakia au zimbabwe

hahahahaah. . . Loya walau umenitendea haki kwenye 'ORIGIN'. Ndo maana nimeamua kuwa mwalimu wa kieerengeza kwa watu wazima kama wewe na Byshanga.
 
afadhali.....
Asprin na TF hapa kwangu kuna nafasi...
Tena nitawalea na kuwahudumia ....loh
Fellow tablet aspirin mpaka mala ya mwisho kuonana nae kumbukumbu inaniambia anaondoka na kilo 2 ya ugali na kabeji tatu zillochanganywa na mifupa ya digidigi. Hapo ni brekfast tu
Jiandae mama, kumlea fellow tablet ni zaidi ya jihadi
 
hahahahaah. . . Loya walau umenitendea haki kwenye 'ORIGIN'. Ndo maana nimeamua kuwa mwalimu wa kieerengeza kwa watu wazima kama wewe na Byshanga.
Nifundishe na lile somo jengine basi....... sema pole pole jamaa asiskie
 
Lile naruhusiwa kufundisha mwanafunzi mmoja tu kwa sasa. . .na ada kashalipia.



Ddah! kwa road bloki hili namuhurumia sana bishanga, heri mimi nimeongea kiswahili tu. Bishanga alikuja na dikshineri lake kabisa kumuimpress teacher yaani kumbe mwisho wa mchezo ndo hili post.
 
Ddah! kwa road bloki hili namuhurumia sana bishanga, heri mimi nimeongea kiswahili tu. Bishanga alikuja na dikshineri lake kabisa kumuimpress teacher yaani kumbe mwisho wa mchezo ndo hili post.
Hahahaha. . .Loya achana na lile bepari. . .halina zaidi ya chokochoko. Ila we kama unataka nikutafutie mwalimu wako na wewe. . . . .
 
Back
Top Bottom