breaking news....

Asprin

Halafu switihati lotion wangu umepotelea wapi? Konnie kakuficha? Ujue mie sili silali nakuwaza wewe

Tuweke dau. Mi natabiri bayern munich watamtoa maurinyo kwenye kombe la dunia leo. Hii inamaanisha fainali itakuwa bayern munich vs tp mazembe.
 
Last edited by a moderator:
Asprin

Halafu switihati lotion wangu umepotelea wapi? Konnie kakuficha? Ujue mie sili silali nakuwaza wewe
Waweza rudia hii yuziful post kwa kiinglish? Kuna midubwashika imeishia std foo ina wivu staki ijue umenambia nini.... Yu knoo woram seyyingg beibii?
 
Last edited by a moderator:
Waswahili bana! mimi niliwaaambia fello tablet kapata viza ya ukraine wao wakavumisha eti amekamatwa ana kesi ya kuiba magunia ya korosho mpaka wa burundi.
fellow tablet umekiuka miiko ya collective aggreement ya famasi za madawa ya magonjwa ya kinamama.
Nalazimika kulog off mpaka utakapomleta Mwali huku martenity ward nimfanyie ukaguzi wa saratani ya andawea.
 
hehehe kikao cha mwisho haukuhuzuria bana sio kosa langu. Halaf tayar umeanza ulafi, hata huyo messi kwanza anapiga chenga mbili, tatu halaf ndio anatoa pasi bana.
 
Waweza nambia ulifanya juhudi gani kunitafuta mwali wangu. Hivi si wajua nafasi yako moyoni mwangu haizibwi na yeyote awaye yote?
NIseme tu ukweli babu sijakkutafuta popote
Siku hizi naona watu wanapotea potea tu,
Iwe wewe, Uncle, deskmate, Anti na wengine
It doesn't mean that I don't miss you lakini...
 
fellow tablet umekiuka miiko ya collective aggreement ya famasi za madawa ya magonjwa ya kinamama.
Nalazimika kulog off mpaka utakapomleta Mwali huku martenity ward nimfanyie ukaguzi wa saratani ya andawea.
WTF??? Babu mi nilisha kwambia sitaki kukaguliwa
Kongosho anajua, nimeandikiwa kupumzika sana
Hayo ma stress unanitishia yana interfere na tiba !
 
Asprin

Shikamoo, karibu maji ya kuoga.
Nshakwambiaga sipendagi mashkamo yako. Yananinyima apetait ya kunaniliu afu nawe ulivo mlafi kila mara walalama sijakufikisha Kibo. Hayo maji umeweka nini? Nimelimis limbwata lako.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilidhani wapenda mahaba ya pwani, shurti umwamkie mwanamme.

Haya, mambo Asprin, hata kunywa hii supu ya limbwa.

Nimelitengeneza kwa usafi wote.

Ukiruka sama soti mbona huwa nafika everest.

Nshakwambiaga sipendagi mashkamo yako. Yananinyima apetait ya kunaniliu afu nawe ulivo mlafi kila mara walalama sijakufikisha Kibo. Hayo maji umeweka nini? Nimelimis limbwata lako.
 
asee makubwa, SL Nimekumiss kweli, si mchezo!

namwona Swahiba wako apo ananichungulia...mwambie tabia mbaya

Kaizer mie mzima wa afya , siku ingine ukinimiss ni'dipu' afu mie ntakupigia lol...

Swahiba ameanza lini kuwa na tabia mbaya? Ntamkanya mwaya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom