Watu watachukia kusikia mtu fulani kaharibikiwa kwenye biashara zake za halali. lakini COMMNUNITY AIRLINE ni peza zetu za kodi na deals za ajabu ajabu zinazoikoseshea mapato.

Watanzania mimi mnanisikitisha mno pale mnapofurahia failure ya mtu. Sijui ni wivu, sijui ni ujinga, sijui ni ushamba au ni mchanganyiko wa vyote lakini binafsi nakuwa disturbed na ninaposoma watu wakifurahia failures za watu wengine.
Kufa kwa hilo shirika kunaweza kuwa pigo kwa Tanzania. Kwanza kuna watu wanapoteza kazi, kunaweza kuwa na matatizo ya usafiri na pia nchi inakosa tax ambayo ilikuwa inakusanya.
Hivyo hivyo watu walishangilia kufa kwa Scandinavia.
Lini mtaelemika na kujua kwamba biashara ni ku take risk? Kila palipo na risk kuna kufanikiwa au kufeli, kufeli kusiwe mwanzo wa kashfa bali mwanzo wa kujifunza ili kuongeza ufanisi.
Watu wanaocheka si ajabu hawawezi hata kuendesha duka. Diallo ni katika wajisiriamali wa Tanzania kuanzia miaka hiyo ya mabirika mpaka sasa, ni mtu ambaye vijana mnaweza kujifunza toka kwake badala ya kumbeza.
Ndio maana nchi inachukuliwa na wageni huku kazi zenu ni kucheka watanzania wanaojitahidi kushiriki kwenye biashara.
Acheni ushamba wenu na elemikeni, si mnaona hapa UK Nothern Rock inaanguka na kila mtu anasikitika? Serikali imemwaga bilions zote hizo ili kujaribu kuiokoa. Ingelikuwa sisi Wadanganyika, basi vicheko, ndelemo na ujinga mwingine.
Acheni wivu wenu wa kijinga.
Watu kushangilia inaweza ikawa imechangiwa na mambo mengi mkuu, hawa jamaa recently wamekuwa waki-mistreat abiria sana na bila hata kujali kama wale abiria pia wana issues na kazi za kufanya hii pia inaweza kupelekea mtu kuona ni bora hii kampuni ife!!
Pili kuna uwezekano mkubwa tu kwamba hizo ajira unazosema zikawa za kiundugu na kwa professionals wakijikuta wanakuwa chini ya mabosi ambao ni non-professional kwa kupitia undugu in most cases inaleta mambo kama haya.
Mkuu naomba ieleweke kwamba huu sio wivu at least kwangu mimi. Kufa kwa shirika kama Community airlines ni kitu cha kushangaza zaidi kwa sababu ya kasi waliyoingia nayo kwenye soko. Katika elimu yangu ndogo nilijifunza kitu kinaitwa business plan na katika hatua zake kuna wakati unafikia muwekezaji anatakiwa afanye RISK ANALYSIS ili aone ni zipi anaweza kuzieliminate, zipi ataziaccomodate na zipi ataziminimize yote kulingana na how much threat they pose. Sasa if Community Airlines hawakufanya homework vizuri then lazima downfall iwe kubwa!!!
Watu kushangilia inaweza ikawa imechangiwa na mambo mengi mkuu, hawa jamaa recently wamekuwa waki-mistreat abiria sana na bila hata kujali kama wale abiria pia wana issues na kazi za kufanya hii pia inaweza kupelekea mtu kuona ni bora hii kampuni ife!!
Pili kuna uwezekano mkubwa tu kwamba hizo ajira unazosema zikawa za kiundugu na kwa professionals wakijikuta wanakuwa chini ya mabosi ambao ni non-professional kwa kupitia undugu in most cases inaleta mambo kama haya.
Mkuu mimi sikubaliani na wewe sana katika haya na zaidi naomba sana watu wanaoanzisha biashara kubwa kama hizi wafanye homework cos sooner or later watajilaumu.
Leave it or take it mimi sijafurahi hii kampuni kufa cos ilikuwa ndo daladala letu la kuendea Mwanza!! Hope itafufuka na ujio mpya.... Diallo part II
Mimi nafurahi kuwa tunaongea kwa ku-balance suala hili.
Mimi naomba wale ambao ni insiders wanieleza suala 1 tu muhimu:
- Community airlines ilianzishwa kwa mtaji gani? Hii ni swali muhimu kwa sababu ni industry ambayo ni capital intensive na inahitaji mtaji mkubwa sana. Je ni pesa zake mwenyewe Diallo? Shareholders? Mkopo? kama mkopo kutoka kwa nani etc?
Ni muhimu kwani manunguniko kwamba ni ufisadi etc ni kutokana na kuwa Bongo tumeona watu wanaibuka na biashara zao na mtaji baadaye tunasikia ni ufisadi.

Dmussa,
Unajuaje hawakufanya risk analysis? Nafikiri unaelewa nini maana ya risk, ni unpredictable. Hata Nothern Rock walifanya risk analysis kubwa tu na mambo yakawazidi.
Hapa hatuna facts zote ila kwa mafanikio ya Diallo huko nyuma, naamini kabisa huko ni kuteleza tu na atasimama tena na kufanikisha biashara zake. Tunahitaji watu kama akina Diallo, Mengi na watanzania wengine na sio kuwaachia nchi wageni ambao mambo yakiwa mabaya, wanabeba mizigo yao na kuondoka.
Susuviri,
Unadhani nani ataweza kukupa majibu kama hayo? Hiyo ni internal information ya kampuni ambayo kikawaida huwezi kuipata.
Kwanini unaona kumiliki hizi cheap airlines kunahitaji mtaji mkubwa? Sijui kwa undani suala la Community airlines lakini kwa kifupi ni kwamba kama unakodisha hizo ndege gharama zake sio kubwa kama unavyofikiria. Kwa jumla naweza kusema hakuna fixed assets hapo na badala yake wewe unahangaika na operation cost tu. Ukipanga mambo yako vizuri unaweza ku run kampuni kama hiyo hata kwa kutumia overdraft kama ingelikuwa huku Ulaya, sijui kwa TZ.
Kuna mwanafunzi wa form four hapa alianzisha kampuni yake kama hiyo kwa pesa ndogo sana na sasa ni milionea.