Breaking news:mliotajwa majina yenu kwenye list ya yule dada tapeli wa bodi mkachukue fedha zenu

Ukitaka kuchukua pesa maofisini tafuta rafiki wa kichaga aliesoma
ukitaka iba ukamatwe nnenda tafuta mnyakyusa mpare dili zao unakamatwa nakwambia
 
Huyu dada mwizi hajashiriki mwenyewe kwenye huu mchezo. Tatizo bongo pepelezi zenyewe zinaishiaga hewani!..hii nchi itabaki kama ilivyo, watu tunaishi kwa mazoea hamna jipya kimaendeleo..wizi tu!
 
huyu dada mwizi hajashiriki mwenyewe kwenye huu mchezo. Tatizo bongo pepelezi zenyewe zinaishiaga hewani!..hii nchi itabaki kama ilivyo, watu tunaishi kwa mazoea hamna jipya kimaendeleo..wizi tu!


huyu dada sio mwizi ni mhalifu
wezi wako wanahaha mahakamani nakwambia hii kesi naifwatilia njoo uone hakimu anavyokula hela za watu kwa kuwapa moyo huku akienda takukuru wanakula hela aiseee hii nchi ni zaidi ya jehanum
 
Back
Top Bottom