Breaking news : Fastjet watangaza route ya kilimanjaro mwanza.....

Hii inatia machungu, kwanini zimetoka route tatu kwa siku kwenda mwanza na KIA imekuwa moja? au ndio mpango wa kuimaliza kabisa na haya mashirika yaliyopo Bongo? Huu urasimu mtupu
Umeelewa kweli wewe??! Route ya KIA-MWANZA na MWANZA-KIA ndo kwanza inaanza ilikuwa route tatu lini?? Hii ni route mpya sio zile za Dar-kia na Dar-Mwanza
 
Back
Top Bottom