Breaking news : Fastjet watangaza route ya kilimanjaro mwanza.....

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
development nzuri sana na kuanzia kesho ndio ticket zinaanza kupatikana so wale wenzetu wa mwanza mambo shwari
Sema samaki ndio tatizo hutapakia ndoo mbili
 
Safi pamoja na misuko suko mara wanadaiwa lakini wanazidi kujitanua safi sana
 
Soon wataanza kwenda kwenye mikoa yenye ushindani mkali kwenye sekta ya usafiri wa anga Rukwa na Katavi ambako kila mwananchi anamiliki ndege yake

ha ha ha Bujibuji unachekesha! Hivi ndege za watu wa Rukwa zinatumia muda gani? Na wanatumia mafuta au ni kama hot air boloon?
 
good news ,ila mngeweka bei halisi ,je pamoja na vat ni kiasi gani?ili mtu ajue kabisa
 
price ni kuanzia 32000 inataegemea na unavyofanya booking mapema unapata low price...
 
FastJet "We're Excited to Announce Our New Route Between Kilimanjaro and Mwanza is Confirmed"

We're excited to announce our new route between Kilimanjaro and Mwanza is confirmed! fastjet flights start on Monday 18th March, flying once daily each way.

One-way tickets start at just TSh32,000 (excluding tax & charges). Tickets go on sale tomorrow morning at Africa's Low Cost Airline - Fastjet - Remember to book early for the best prices!

SOURCE - FAST JET

Hii inatia machungu, kwanini zimetoka route tatu kwa siku kwenda mwanza na KIA imekuwa moja? au ndio mpango wa kuimaliza kabisa na haya mashirika yaliyopo Bongo? Huu urasimu mtupu
 
Soon wataanza kwenda kwenye mikoa yenye ushindani mkali kwenye sekta ya usafiri wa anga Rukwa na Katavi ambako kila mwananchi anamiliki ndege yake

Wee Mzee wewe!!! Ipo siku ntacopy comments zako zote nizipeleke kwenye familia yako kama hawajakukana
 
Hii inatia machungu, kwanini zimetoka route tatu kwa siku kwenda mwanza na KIA imekuwa moja? au ndio mpango wa kuimaliza kabisa na haya mashirika yaliyopo Bongo? Huu urasimu mtupu

IT will depend , labda wamefanya research wakaona one route daily will satisfy their customers
 
mwanza.jpg
We're excited to announce our new route between Kilimanjaro and Mwanza is confirmed! fastjet flights start on Monday 18th March, flying once daily each way.

One-way tickets start at just TSh32,000 (excluding tax & charges). Tickets go on sale tomorrow morning at Africa's Low Cost Airline - Fastjet - Remember to book early for the best prices!
 
Wee Mzee wewe!!! Ipo siku ntacopy comments zako zote nizipeleke kwenye familia yako kama hawajakukana
SABAYA, ukipeleka huko watakutolea furushi za nukuu zangu, na kukupa kama zawadi uende ukawagawie wale wamasai ambao siku hizi wameacha kuua simba za kutolea mahari, wanataka kuwekwa kinyumba na mashuga mami
 
Last edited by a moderator:
SABAYA, ukipeleka huko watakutolea furushi za nukuu zangu, na kukupa kama zawadi uende ukawagawie wale wamasai ambao siku hizi wameacha kuua simba za kutolea mahari, wanataka kuwekwa kinyumba na mashuga mami

hahahaa Yaaani we mzee siku ukipigwa ban humu ntaacha kuingia JF huwa unaniongezea sana siku zangu za kuishi kwa vicheko
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom