Breaking news:ajari mbaya shinyanga

Huo ni uzembe mkubwa wa polisi, kwa nini wasimshikilie. Hii ndo polisi jamii.
Inawezekana walimuachia makusudi, na walijua amelewa. Ilibidi awe chini ya ulinzi mkali. Sasa ameacha familia. Inauma sana
Kwa tetes zilizoko mjini kwa sasa ni kua 100% police wanahusika kwa mauaji inadaiwa baada ya kumpiga na kugundua jamaa kafa wakaamua kumrusha ili kupoteza ushahidi.Na Marehemu amesafirishwa leo kwenda MOROGORO.
 
Shinyanga mitaa ipi kwani nasi huwa twaitembelea mikoa mingine twajua hata mitaaaa , eg imetokea ngokoro,buluba,mwasele,au njia ya kwenda Mwadui?

Ilikua mitaa ya Majengo ya kambarage njia panda kama unakwenda Karena Hotel na ile ya pili ilikua ni maeneo ya Uhuru Sec karibu na kituo cha mafuta.angalia leo taarifa ya habari Tbc1 leo ucku.
 
Another uzembe mistake combined with Arusha chakachua style!
Napapata ni Mitaa ya majengo mapya jirani na Mapinduzi Primary School:A S-confused1:
 
Kumbe mtu mwenyewe alikuwa kalewa, wangekuwa makini wakati wa kumpeleka kituoni, atarukaje wakati wapo nae ndani ya gari???
 
Kumbe mtu mwenyewe alikuwa kalewa, wangekuwa makini wakati wa kumpeleka kituoni, atarukaje wakati wapo nae ndani ya gari???
Katika maswali yanayoumiza watu wengi ni hili la je police walikua wapi mpaka jamaa anajilusha?
 
Another uzembe mistake combined with Arusha chakachua style!
Napapata ni Mitaa ya majengo mapya jirani na Mapinduzi Primary School:A S-confused1:
Sawa sawa mi ndo mitaa yangu hiyohiyo karibu na kwa fresho.
 
Back
Top Bottom