Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,955
- 156,155
Magari haya kwa kweli ni mabovu.
Yote yanamilikiwa na askari Polisi,
hayana bima hai, Road licence zimeisha, hayana taa za nyuma za break, parki wala hendiketa.
Yakija kukukokota wanatoza ada kubwa sana na wanaharibu gari yako.
Watendaji wake ni wezi, wanakwapua vitu vinavyong'oka kirahisi kwenye gari.
Hawa jamaa hawafai na ni hatari sana.