Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

Bongo kazi ipo,ajabu gani Germany kushinda game dhidi ya Brazil?!Maandalizi+Dhamira mbona vyatosha!?
 
Duh! raaha saana hadi nimewakumbuka marehemu Mafisango, Boban na Sunzu 5-0
ooho sorry kumbe Brasil.
 
wakoloni wajerumani wakiongeza goli moja tu hatari ya brazil kuwa timu iliyopigwa magoli mengi katika mashindano haya!
 
Watulie wachezaji wa Brazil wasijali machozi, kilio, mayowe, miguno, ukimya na kuzomewa na mashabiki wao wacheze mpira maana wanaweza kufanya maajabu wakarudisha na kushinda mchezo ktk extra time na penati.

Maana naona wa-Brazil walikamia sana dakika za mwanzo na kutoa mwanya kwa Germany kutumia makosa ya Brazil kufunga mabao 5 katika kipindi cha mwanzo za mchezo.

Naona toka kipindi cha pili cha mchezo kuanza kuna matumaini-chanya kwa Brazil.
 
hadi google wameamua kushangilia kufungwa kwa brazil googlebrazil0german5.gif
 
Ni historia tosha. Hakuna timu iliyowahi kufungwa magoli 5 katika semi final, World Cup, kwenye kipindi cha kwanza. ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️


Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom