Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

Aya subirini anguko la mama Banda jingine dhidi ya Rais wa Brazil.
 
Brazil hadi wamefika hapo nikwa bahati tu.Hayo matokeo miye niliyatarajia.
 
...afu mtangazaji kakomaa kinoma, mara its unbilivabo,ooh the germanz are liding,si akauke tu,kwani hatuoni...!?
 
timu ya taifa ya brazil imepokea kipigo cha magoli 5 hadi dakik ya 34 kutoka kwa wajerumani.dah! sitamani kuangalia tena
 
brazil baada ya goli la kwanza walichanganyikiwa. anyway ndo mpira
 
breaknews
neymar apalalize baada ya kupata matokeo ya sasa
source goal.com
 
goli la kwanza limewachanya ukizingatia walikuwa na matarajio makubwa sana. tutegemee magoli zaidi
 
Back
Top Bottom