Bravo Kikwete: UN Chief Lauds Tanzania

Tusisahau kwamba ingawa maneno ya katibu mkuu wa UN ni mema kwa nchi yetu, huyu Ban Ki-Moon ni mwanamtandao.

Mkuu heshima mbele,

Baada ya kuiona tu hii Yaani hiii imebidi nim-forwadie Muungwana na Mama Migiro, na Prof. Migiro(Mume), yaani ahsante mkuu wangu for making my day! Hii nimeamua kui-frame kabisa maana ni ya kwanza humu forum na aina yake, bravo mkuu!
 
Mzee ES naona umemkomalia kweli kweli. Mpaka kwa Prof?. Naona wengine walijua ukweli huu lakini wakapata kigugumizi.
 
Back
Top Bottom