Wakuu naomba msaada wa kujua brand bomba ya home theatre chukulia zote zina uwezo sawa mfano 1000w, ni ipi bomba zaidi?
Hakuna Home Theatre yenye 1000w huo ni usanii tu maana ingetakiwa itumie umeme mkubwa kama wa pasi au jiko, hizo watts huwa ni p.m.p.o. Nzuri tu zote ila inategemea ni ya nchi gani na je maandishi yake ni ya kiwandani au yamebandikwa na super glue. Nakushauri home thietre nzuri pata Yamaha au Bose ya USA utaenjoy ila bei imekaa kiutatanishi zaidi.

kaka panasonic ni kiboko,mi ninayo mpaka majilani walishaandamana,kwenda kwa mjumbe,kisa mziki mzito,pata ile original,japani.
Ha ha hakaka panasonic ni kiboko,mi ninayo mpaka majilani walishaandamana,kwenda kwa mjumbe,kisa mziki mzito,pata ile original,japani.
Hamna mwenye million 4 ya kununulia redio tu
Onkyo HT-S7200
Sponsored Ad
Manufacturer: Onkyo
Model: HT-S7200
Pros: TrueHD, DTS-HD decoding, 1080i upscaling and RI iPod dock are standout features for this home theater.
Cons: No wireless speakers are offered on the Onkyo HT-s7200.
The Verdict: If you want big sound at high quality, this home theater is hard to beat.
hapa nakuunga mkono hizi Panasonic ni tamu sana mziki wake na kikubwa zinadumukaka panasonic ni kiboko,mi ninayo mpaka majilani walishaandamana,kwenda kwa mjumbe,kisa mziki mzito,pata ile original,japani.
hapa nakuunga mkono hizi Panasonic ni tamu sana mziki wake na kikubwa zinadumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata Aborder ya 130,000 kariakoo inapiga mziki mzito ambao unatosha nyumban.
Unanunua lidude 1.2 million unaishi Club Billicanas!!!