BP wanauza mafuta km kawaida...

Manyema

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
645
1,638
Wakuu nimepita maeneo ya ubungo external hapa kuna sheli ya BP nimeshangaa nikiona wanauza mafuta kwny magari kama kawaida..nikajiuliza kuwa ile adhabu yao ya kutouza mafuta kwa miezi mitatu imeshaisha au imekuwa vp, some how confused.! Naomba kuwasilisha..
 
ilishaisha ilikuwa ya siku tatu sio miezi 3 ewura waliteleza ulimi!
 
Pole sana kwa kuamini adhabu zinazotangazwa na serikali yetu dhidi ya matajiri. Umesahau kuwa tunaongozwa na serikali LEGELEGE?
 
wameruhusiwa kuuza mafuta kwa kununua kutoka kwenye makampuni mengine lakini si BP yao. kwa hiyo BP watakuwa hawauzi unleaded.Ila sidhani kama BP wenyewe wanakubaliana na hili kuuza mafuta ya makampuni mengine.
 
Wengine huwa mnakurupuka tu. Serikali wana hisa 50% BP.
<br />
<br />
kuwa na 50% ndio watutangazie wamewazuia kumbe sio uo ndio ulegelege wenyewe sasa acha kubaka mijadala wewe
 
JK na serikali yako legelege mmeshinda ushindi wetu kama raia tutautangaza mwaka 2015
 
JK na serikali yako legelege mmeshinda ushindi wetu kama raia tutautangaza mwaka 2015
<br />
<br />
Jamani tusiwe wavivu kukumbuka, baadhi ya vituo vya kampuni hizi zinatumia tu nembo lakini vinamilikiwa na watu binafsi na EWURA ilishasema hivyo vitaendelea kutoa huduma, mara hii tumesahau?
 
Hivi hujui kwamba leseni liyositishwa ni ile ya uuzaji wa jumla. Wale wa rejareja wanaendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom