Boys lets JUST DO THIS!!!!

Mmmh!!! Haya wenye bahati ya kufanyiwa hayo yote HONGERA ZENU.....

Ila kuna kitu sijaelewa vizur anayefanya yote haya ni yule iliyefikia cheo cha kuitwa BABA FULANI ?? AU...... ni yale ya yule anayesema jifiche mpenzi wangu jirani yule pale anakuja upande huu tuliosimama/kaa, akikuona anaenda kukusemelea kwa wazazi wako,,jifiche jifiche.....lol

UNAJUA UMRI UNAPOENDA SANA HATA AKILI INAKUWA NZITO SANA KUELEWA MAMBO.
 
Hii ingenifaa kipindi kile bado kula na kulala kwangu ilikuwa jukumu la Baba TANMO... Nice stuff though!!

Mi naona kipindi hiki cha kula kwa jasho lako ndo kizuri kumfanyia haya mwandani wako, kipindi kile unaweza kuwa unataka kumfanyia lakini muda, pesa za kwenda nae matembezi na vingine ambavyo unaweza kuvifanya wewe leo kwa pesa zako ziwe bado ni za kupewa na baba TANMO, halafu siku hiyo unayoitaji baba TANMO nae akawa anataka kumfurahisha mama TANMO mdogo. Lakini kwa sasa hivi wewe hivyo hivyo komaa tu bana TANMO, maisha ni kufurahi, na hakuna furaha zaidi ya kupendwa/kupenda au sio?
 
Back
Top Bottom