Boys lets JUST DO THIS!!!!

Dah! naona tumeanza kufundishana kutongoza,na jinsi ya kumtapeli huyo she.Sasa muda wa kuhustle itakuwa saa ngapi maana navyoona karibia muda wote utaishia kumuonesha kama unampenda.hiyo ni kwa boys and girls vp kuhusu sie elders?
 
Hahahaha mi labda kwa trekta!Au uombe msaada kina Kloro..baba Mchungaji..Sipiyu na baunsa lingine la nguvu!
Naona na NN kaunga foleni kwako na tukiwaongeza na wale waliokudondokea(sijui ulisalimika lol!).We si una kilo 58,miaka 23, mweusi kiasi,unakata bob style,very independent,speaks her mind...niendeleee ?
 
Hahaha dearest ntalala vizuri sana leo!Embu endelea ili nikuote kabisa!
 
Naona na NN kaunga foleni kwako na tukiwaongeza na wale waliokudondokea(sijui ulisalimika lol!).We si una kilo 58,miaka 23, mweusi kiasi,unakata bob style,very independent,speaks her mind...niendeleee ?

dahhhhhhhh
eeehhh kwa kweli
homework umeifanya hadi kilo unajua
Kheshma yako mkuu...
 
Ulipokuwa mdogo ulikuwa tomboy flani lakini sio mgomvi,hupendi gossip,unapenda kujua vitu vipya na kujuana na watu wenye manufaa kwako...imetosha ?

Khaaa!We dearest ndo EY nini?Usikute unanichora tu hapa.....!
 
Khaaa!We dearest ndo EY nini?Usikute unanichora tu hapa.....!
Hiyo ya miaka ulisema mwenyewe,nywele ulisema mwenyewe,weusi ulisema mwenyewe ndio ujue nafatilia kila kitokacho kinywani mwako mengine nimekisia tu.
 
Back
Top Bottom