Boyfriend wangu ananitishia ameniwekea mtego

Mi niPM tu nakuja, japo mi ni mme wa mtu lkn nakuja kufanya experiment tu.
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

Uko kwenye kipindi cha jot ila matokeo yawe mazuri zaidi..?!
 
Muongo huyo hakuna cha tego wala nini...ww fanya sio kwa kujaribu ingia na miguu yote,,,angekuwa amekutega asingekuambia ila anakutisha ingawa kwa namna moja ama nyingine ni nzuri kukulinda kwa style hiyo kwani kujaribu jaribu nayo sio ishu.
 
Kujaribu kama kweli umetegwa nenda kwa hawara yako kisha mwambie anyonye kidole chako kisha tumbukiza huko longroom ukiona hakitoki basi hilo ni tego na milele kidole chako hakitatoka.
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

njoo kwangu mimi najua mke wamtu ni sumu hivyo natembea na maziwa kabla na baada ya kupiga mzigo nakunywa
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

hivi akifa huyo bf wako itakuaje?unaweza kutoka na mtu mwingine kweli?nafikiri tunapaswa kurudisha maadili pamoja na kuheshimu viapo vya ndoa zetu kuliko kuwekeza na kuendelea kuamini huu ushirikina
 
Chezea kunasa weye!!! Njemba zinajipenda banaaa!!!!...nani anataka kuwa gumzo la nchi!!!! Amenasana na GF wa mtu wako Muhimbili kutafuta wa kuwanasua...labda ukubali njemba ianze kutest kwanza kuona kama test inajipa kama haijipi basi imekula kwako... Kichwa cha habari, "Nanihii yanasa nyetini mdada alikuwa anajaribisha kama anaweza kunasana na mtu au la kabla ya kujirusha nyumba ndogo kwa raha zake." lol!

Nimekuacha, lakini nasikitika mpaka sasa sijapata pm toka kwa kidume chochote!!
 
Chezea kunasa weye!!! Njemba zinajipenda banaaa!!!!...nani anataka kuwa gumzo la nchi!!!! Amenasana na GF wa mtu wako Muhimbili kutafuta wa kuwanasua...labda ukubali njemba ianze kutest kwanza kuona kama test inajipa kama haijipi basi imekula kwako... Kichwa cha habari, "Nanihii yanasa nyetini mdada alikuwa anajaribisha kama anaweza kunasana na mtu au la kabla ya kujirusha nyumba ndogo kwa raha zake." lol!

Best bwana, sasa huyo wa majaribio kabla ya small house tunamuitaje? Placebo ama guinea pig? Na arrangement inakuwaje ili asiwe naye ni small house?
 
Siyo mtu best lol! Naogopa kuchema :) :)

Best bwana, sasa huyo wa majaribio kabla ya small house tunamuitaje? Placebo ama guinea pig? Na arrangement inakuwaje ili asiwe naye ni small house?
 
lol! just try to expand your imaginary world a little further away from cartoons:majani7::majani7::majani7:

bora hata usiseme nibakie na imaginations zangu, lol! How do i hate my imaginary world, blame it on all cartoons!
 
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test kuona kama anayosema ni kweli au ananitishia? Mwana JF aliye tayari kufanya test na mimi ani-pm tafadhali ( at his own risk).

Nakuja PM sasa hivi.
 
Duuuuuu,angelikuwa ni mume je angeliweka nini,yaani BF tu hivyo,duuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom