Boyfriend ana majibu ya dharau

1. Hataki kukuonyesha kwake. Inaelekea bado hajaamua kua nawe anakupotezea time yako tu

2. Utani wa namna hiyo kwa mupenzi wa kumoyo haufai. Leo kakuita mshenzi kesho atakuporomoshea mazito. Ni kujiongeza tu hapo
 
Kaaa.. Ni shidaaa. Pata wa kutosha kumfahamu. Ila watu ambao hawapendi anakoishi upajue ni tabu sana.
 
Pole sana dada yangu,hakika nakwambia huyo si bwana wa kuwa naye,leo kadharirisha utu wako vile na hauja mvulia nguo,siku ukmvulia nguo utajuta kwanini ulimpenda,hayohayo maneno alokuwa anakutukana atakuwa anaya rewind,kama vipi nipenda basi mimi siko na matusi ya vile!
 
Ulishawahi kumruhusu kuingiza kidole huko kwenye hiyo kitu ya mjerumani? Nahisi atakuwa amesikia na kuona taarifa za tatizo la uchafu au kunuka kwa baadhi ya wanawake na yeye labda linamkera, pia linawezekana hakuwa kwenye mood nzuri wkt anakujibu hivyo, si unajua stress za kukosa kazi! Kupishana kauli za kuchukiza namna hiyo au zaidi ya hiyo ni kawaida ktk mapenzi.

Uko sahh mkuu
 
Aisee ila mmeongea katika mazingira ya utani,sijaona kosa lake
 
Ilitakiwa mmalizane kw utani bac ww hupendi utani bac huciwe natania afu naona una asira.. je ungekutana na mm Ndo ingekua balaa.. inaonesha ata sex chat huwezi
 
we ndoa utaiweza kweli bibie??maana majibu kama hayo yamekudatisha...!! vp utaweza uvumilivu wa ndoa ikitokea??hahahaa
 
Ahhahaha umemchokonoa umepata chokonoko unalalamika....mbona kitu kdgo tu ila looh jamaa ana guts duu😱😱
 
Back
Top Bottom