pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,040
- 3,272
Sasa kama hainuki na mlikuwa mnataniana wewe unakasirika nini??
Umeona eeh? jamani waTZ mna raha sana...... !!!!
Ulishawahi kumruhusu kuingiza kidole huko kwenye hiyo kitu ya mjerumani? Nahisi atakuwa amesikia na kuona taarifa za tatizo la uchafu au kunuka kwa baadhi ya wanawake na yeye labda linamkera, pia linawezekana hakuwa kwenye mood nzuri wkt anakujibu hivyo, si unajua stress za kukosa kazi! Kupishana kauli za kuchukiza namna hiyo au zaidi ya hiyo ni kawaida ktk mapenzi.
Mpotezee asije kukuaibisha mbele za watu na hakuna utan wa ivo kwa mpnz wako,isitoshe ata anapoishi ataki upajue jiongeze
Furahi uongeze uhai na umri....upo kwenye nchi yenye vituko!!Usinichekeshe mie, raha yakutaniana utani mbayaaaaaaaaaaaaa.