Boti yazama Zanzibar

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
WATU 10 WAMENUSURIKA NA WENGINE WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO, ILIKUWA INATOKA ZANZIBAR KWENDA PANGANI.

Source: ITV

NOTE:
Nilianzisha thread kwamba nimeota meli imezama Zanzibar baada ya sikukuu, na nikatoa maelezo ya kutosha lakini mods wakaitupa kapuni thread yangu.

Kwa kuwa ndoto ile imekuja kuwa ni kweli, mods fanyeni mpango muirudishe.
 
Wewe ni mnajimu au mtabiri? jazia nyama thread yako usitake kila mtu awe na ndoto zako. Boti gani? muda nk!
 
Nimezishkia hizo story itv lakini napata mashaka na muanzisha thread. Naona jinamizi la sheikh yahya kama linazungukazunguka! Ni ajabu kwa dunia ya leo kuja kuanzisha thread ya kitu ulichoota eti tukijadili! Ajabu kabisa. Hata mimi ningekuwa mod ningeiondoa.
 
Kwakweli kuja kufikia 2015 wa-Tanzania wengi tutakuwa na hali mbaya kama si kiuchumi basi kisaikolojia, majanga yametuzidi. ni juzijuzi tu MV-Stagik imeua watu kibao sasa na hii leo inazama!! si balaha hii.
 
WATU 10 WAMENUSURIKA NA WENGINE WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO, ILIKUWA INATOKA ZANZIBAR KWENDA PANGANI.

Source: ITV

NOTE:
Nilianzisha thread kwamba nimeota meli imezama Zanzibar baada ya sikukuu, na nikatoa maelezo ya kutosha lakini mods wakaitupa kapuni thread yangu.

Kwa kuwa ndoto ile imekuja kuwa ni kweli, mods fanyeni mpango muirudishe.

Vipi Mkuu siku hizi unaishi pale Mikumi karibu na Petrol Station? Hongera
 
Mkuu hakuna la ajabu hapo. Mwenye shughuli yake, mkuu wa anga hili, anapewa kafara hivyo. Fanya utafiti kidogo utagundua kitu; hizi shughuli lazima ziandamane na mikafara kama hiyo.
 
Aisee baba yangu embu acha uvivu 2ambie hiyo boti ilikuwa inatoka wapi kwenda wapi na imezama maeneo gani saa ngapi

naenda kunjwa mbege nitarudi,,nikute majibu
 
Hii ni taarifa na hakuna sababu ya kuibeza. Jana hali ya Hewa walionyesha kuwa leo upepo ungekuwa na speed ya 30! Hii spidi ni kubwa hivyo jambo lolote lingeweza kutokea. Poleni sana.
 
WATU 10 WAMENUSURIKA NA WENGINE WAWILI HAWAJULIKANI WALIPO, ILIKUWA INATOKA ZANZIBAR KWENDA PANGANI.

Source: ITV

NOTE:
Nilianzisha thread kwamba nimeota meli imezama Zanzibar baada ya sikukuu, na nikatoa maelezo ya kutosha lakini mods wakaitupa kapuni thread yangu.

Kwa kuwa ndoto ile imekuja kuwa ni kweli, mods fanyeni mpango muirudishe.

Huhitaji kuwa mnajimu kujua kwamba muda huu wa sikukuu watu wanajazana kwenye miboti na uwezekano wa ajali ni mkubwa.

Hata MV Spice Island ilizama around sikukuu ya Idd.
 
Tuwaombee hao wawili cjui watakuwa ktk hali gani jaman serikal wako wap wananchi wasio na hatia wanazidi kupoteza maisha kwa 7 ya uzembe wa mtu 1
 
Afadhali kipengele fulani kwenye sensa hakijawekwa manake ingekuwa kinyume cha matarajio ya watu.
 
Kuna haja ya kuanzisha intelijensia za kuchunguza vyombo vya majini badala ya hizi zilizopo zinazochunguza mikutano ya vyama vya siasa pekee :car:
 
Back
Top Bottom