zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Kweli kabisa, nakuunga mkono kwa hili, mbona kwenye madini kambandika Zitto, na hapa amweke Slaa, au...Hili suala haliwezi likamgusa Balali pekee yake, kuna kitu kikubwa kimejificha hapa na Namshauri JK katika ile timu ya IGP, AG na CAG aliyoiunda kufuatilia ufisadi huu aweke pia watu huru kama viongozi wa dini na muipuaji wa scandal hii Dr Slaa ndipo tutakuwa na Imani otherwise tunahisi kuna vitu vinataka kufichwa hapa maana hii kitu inagusa watu wazito na matumbo yao na ndio wafadhili wakuu wa CCM na wanaojitokeza kuchangia harambee zinazosimamiwa na Mh.JK kwa kumwaga mamilioni.
This is terrible, Tume huru iundwe indelee pale alipoishia Ernest& Young
Je hujuwi system ni nini?