Bot and tra jobs

ELITIBISI

Member
Nov 4, 2010
21
5
Hivi wadau zile kazi zilizopitia hapa hapa jamvini za tra na bot vp walishaita wateule katika entreview? Nisaidieni majibu wadau!
 
Nimeona kuna haja ya kukusaidia kwenye swali lako. Inawezekana waliishaita lakini walioitwa aidha hawaingii Jamii forums, hawana mahusiano na watu wa jamii forums au huchungulia tu si member na pia inawezekana wasiwe na interest ya kujibu hilo.
Kwakuwa wewe ni mtafuta kazi, take trouble wapigia hao BOT na TRA waambie unaulizia process za application zimefikia wapi, naamini watakusaidia.
 
duh!!!!!!!!
 
Hivi hawakuandia kuwa ukiona hujasikia chochote kutoka kwetu baada ya muda fulani ujue hukuwa qualified au?? Poel lakini
 
Nimeona kuna haja ya kukusaidia kwenye swali lako. Inawezekana waliishaita lakini walioitwa aidha hawaingii Jamii forums, hawana mahusiano na watu wa jamii forums au huchungulia tu si member na pia inawezekana wasiwe na interest ya kujibu hilo.
Kwakuwa wewe ni mtafuta kazi, take trouble wapigia hao BOT na TRA waambie unaulizia process za application zimefikia wapi, naamini watakusaidia.

umenena vyema mkuu...nadhan ofisi za tra na bot zipo so akaulizie huko.
na tafadhali ukienda kuulizia waambie wawe wana post JF kuwasaidia watu kama wewe
 
kuna mawili hapa, yawezekana bado wako kwenye mchakato kwani applications ni nyingi na always they are looking for the right candidates au zilikuwa formalities tayari walishaajiriwa wajombazao
 
Hivi mnajua huyu anaishi wapi? au kwakuwa wewe unaishi Dar unadhani wote tupo Dar.
Hivi kuna mambo mangapi yanaulizwa humu jf ambayo majibu yake ni kgoogle tu na yanajibiwa?.
Ina udhi sana unapodhani kuwa sehemu fulani unaamini utapata msaada wa magreat thinkers kisha unaambulia majibu ya kukatisha tamaa toka kwa watu wanaotumia net za bure ofisini kwao na kdhani wote tuna access kama zao.
Jamani watu wamechanganyikiwa na kazi, kama hujui kaa kimya au mshauri kiungwana kuliko majibu ya kipuuzi kama haya
 
duh kaka hivi date line iikuwa lini? maana mimi kwa upeo wango miezi miwili baada ya dateline huwa naaashumu nimewaka.
 
Dahhhh! angalia nyekundu hizo, nafikiri wamefanya vizuri kukuacha maake you are NOT qualifying:smash:! kwa taarifa tu ni kuwa zile za TRA watu wanakula training ya kufa mtu pale D'Salam! lakini usichoke angaika utapata panapokufaa zaidi! pole sana!:washing:
 
umenena vyema mkuu...nadhan ofisi za tra na bot zipo so akaulizie huko.
na tafadhali ukienda kuulizia waambie wawe wana post JF kuwasaidia watu kama wewe

kauli kama hizi za akina "Sangara" zinatia mashaka sana: hapa kama huna msaada kaa pembeni, vinginevyo basi wana JF msilete post za kazi hapa-ili zitangazwe na kusomwa magazetini, au mzibandike maofisini kwenu! sishangai Sangara ni samaki mwenye mafuta mengi sana hivyo hata uwezo wake wa kufikiri huwa ni mdogo sana ndo maana hata wategaji wake utumia vitu(chambo) cha bandia na bado ananaswa!:lol:
 
kuna mawili hapa, yawezekana bado wako kwenye mchakato kwani applications ni nyingi na always they are looking for the right candidates au zilikuwa formalities tayari walishaajiriwa wajombazao

Hilo la pili ndio haswaa.
 
Hivi wadau zile kazi zilizopitia hapa hapa jamvini za tra na bot vp walishaita wateule katika entreview? Nisaidieni majibu wadau!
mkuu washaitwa na washaanza-kuna mmoja namfahamu yupo TRA dsm kaanza ana kama 2 weeks sasa ofisini
 
Hivi mnajua huyu anaishi wapi? au kwakuwa wewe unaishi Dar unadhani wote tupo Dar.
Hivi kuna mambo mangapi yanaulizwa humu jf ambayo majibu yake ni kgoogle tu na yanajibiwa?.
Ina udhi sana unapodhani kuwa sehemu fulani unaamini utapata msaada wa magreat thinkers kisha unaambulia majibu ya kukatisha tamaa toka kwa watu wanaotumia net za bure ofisini kwao na kdhani wote tuna access kama zao.
Jamani watu wamechanganyikiwa na kazi, kama hujui kaa kimya au mshauri kiungwana kuliko majibu ya kipuuzi kama haya

kweli kabisa!
 
Mnashangaa nn na kila siku wa2 wanalalamika uchakachuaji basi hbr ndo hyo watu wapo mjengoni na mifedha ya kujikimu washalamba hapa napoongea makampuni ya loan credits wameshawafuata kuwashawishi wakope hata kama mshahara hawaujui teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom