Bored Day

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
5,000
Nipo bored nitajieni Garden ya kwenda kutulia siku ikaenda.

Movies gani yakucheki siku iishe.

Member gani aliboreka kama mimi tu-meet tule story.
 
Hehe zingine hapo hata sijawahi kanyaga,nazisikiaga redioni tu.Jembe bado ipo sana tu.
Hahah hio charcoal(nimekula nanasi la kuchoma sana hapo) iko pembeni ya Hapo jembe,hio rockbeach ni pale ilipo Chinese restaurant.

Nasikia maji ziwani yamekua mengi nikadhani hazija survive.
 
Back
Top Bottom